ANUNNAKI: Nadharia za Mungu, miungu, fumbo la sciencenscience na Teknolojia kubwa katika Dunia ya kale, kuanguka Kwa civilization na kuinuka Tena

ANUNNAKI: Nadharia za Mungu, miungu, fumbo la sciencenscience na Teknolojia kubwa katika Dunia ya kale, kuanguka Kwa civilization na kuinuka Tena

Unajua maana ya neno Mungu kwanza?
Unapodai Kuna Mungu ila haonekani unaleta utata sababu huwezi Thibitisha uwepo wake,

Nikupe SoMo Leo kijana
Maana ya
'GOD' ni master of high chamber katika accient civilization ya Mesopotamia walitumia
'ANU' wakimuwakilisha mtawala wa Sayari ya Nibiru kwasababu ya watoto zake kuja Duniani kutafuta gold watoto zake wakaitwa wa Annak au
'gods' ikiwa na maana walioshuka kutoka juu mbinguni au mawinguni na kuja Duniani kutafuta dhahabu

'Miungu' ni watoto wa Mungu mkuu wa Mbingu sababu wanae walikuja duniani hivyo ni mkuu wa mbinguni na Duniani hapa ndipo Siri na nadharia ya Uungu ilipoanzia na Mungu Sio jina ni cheo Cha mtawala wa Dunia na mbingu
ANU alikua Mtangulizi wa kale wa miungu aliyekua na mamlaka kuu baadae walifuatia miungu Wengine mfano
Kuna Mungu Elohim/YHW huyu watu wengi humwabudu katika Dini za kisasa huko waabuduo hawajui ni Moja ya Miungu wa kale wa ANNUNAKI na Aliabudiwa na Abraham aliyetokea Uru ya Ukaldayo Mesopotamia ambako Ndio nadharia za Mungu na miungu zilianzia sababu ya uwepo wa ANUNNAKI
Soma historia utajua ujinga wa kuwaita viumbe Mungu ndio utajua utapeli wa Dini mlizoletewa waafrika na mkazimeza nzima nzima!
Unazungumziaje uwepo wa hawa viumbe wanaoitwa majini sijui mapepo.

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
yameandikwa katika Lugha ya Sumeria au Mesopotamia pia sio hivyo tu Kuna mengine waliyakuta yamerekodiwa kwenye Plate za Santuri (old CD)
Ambapo watafiti wa mambo kale na NASA waliziita Voyage 1 na voyage 2!
Ina maana hizi lugha ndizo ambazo annunaki na bindamau walikuwa wakiziongea wakati huo ?
 
Ina maana hizi lugha ndizo ambazo annunaki na bindamau walikuwa wakiziongea wakati huo ?
Mkuu ukisoma accient tablets Sumeria na ANNUNAK walikua na Table yenye
Alphabet 600 wakati Leo tunazo 26 tu,watafiti wa mambo kale wanakwama kutafsiri maandiko ya Sumeria na waliyoweza ndio Hii elimu ninayoshare nanyi Hapa jamvini
Mkuu wanasayansi walioweza kufanya calculation za accient tablets waliweza gundua mambo makubwa Sana mfano ni Nikola Tesla aliweza fanya Hesabu na Physics za wamisri na ilimsaidia kugundua Umeme wa AC alitumia formula za Pyramids za Giza alizodai hapo kale zilikua Plasma generators za kuzalishia Umeme wa mionzi uliotumika kuendesha mitambo ya uchimbaji dhahabu hapo kale na Annunaki,

Yapo mambo ya kushangaza Sana kuhusu gunduzi za Kisasa uzionazo Leo zimetokana na accient civilization!
 
Mkuu ukisoma accient tablets Sumeria na ANNUNAK walikua na Table yenye
Alphabet 600 wakati Leo tunazo 26 tu,watafiti wa mambo kale wanakwama kutafsiri maandiko ya Sumeria na waliyoweza ndio Hii elimu ninayoshare nanyi Hapa jamvini
Mkuu wanasayansi walioweza kufanya calculation za accient tablets waliweza gundua mambo makubwa Sana mfano ni
Nikola Tesla aliweza fanya Hesabu na Physics za wamisri na ilimsaidia kugundua Umeme wa AC
alitumia formula za Pyramids za Giza alizodai hapo kale zilikua Plasma generators za kuzalishia Umeme wa mionzi uliotumika kuendesha mitambo ya uchimbaji dhahabu hapo kale na Annunaki,

Yapo mambo ya kushangaza Sana kuhusu gunduzi za Kisasa uzionazo Leo zimetokana na accient civilization!
Aisee inashangaza sana
nakwa hiyo ina maana nabii ibrahim aliweza kusoma vizuri lugha za sumeria ?
 
Mkuu vitu sensitive unavyokusudia ni kuabudu miungu ?
No sio kuabudu miungu namaanisha hizo habari ambazo hata kwenye Quran zimeelezewa

Hoja yangu ni kwamba hiyo dini ilitumia muongozo gani kuandika habari nyeti kama hizo?
 
Kuna jamaa anajita Mokaze alikuwa anasema wana sayansi wamekuwa wakitumia Quran kufanya utafiti kwasababu ndio kitabu pekee kilichoongelea habari za Bing bang

Mwingine anajiita FaizaFoxy huyu alikuwa anasema Quran ndio kitabu pekee kilichoongelea habari za embryology katika zama ambazo hakukua na sayansi. Wakati kuna ancient texts za kihindu huko za Shrimad Bhagawatam, Garba Upanishad na Samhitas ambayo imetoa hadi sayansi ya mid-wifery

Hivyo vitabu vyote vilitangulia kuwepo maelfu ya miaka zaidi ya Quran, waislamu wengi wamejifungia milango ya elimu kwa kutosoma vitabu vingine au kufanya utafiti wa kila kitu ambacho kimeandikwa kwenye Quran kama kiliwahi kuandikwa na kitabu kingine kabla ya Quran

Matokeo yake wengi wanakuja kuvimba kwa kutaka kuwaoneshea watu kuwa kitabu chao ni special sana kwani kimeandika mambo nyeti ambayo hayajawahi kuandikwa.
Wewe ukinitaja mimi weka na hiyo Quote, siyo unatafuta kiki kupitia kwangu.

Embryology imetajwa kwingi sana, lakini Qur'an ndiyo iliyokuja na "accuracy" isiyopingana na Kisayansi ambayo imemshangaza mpaka bingwa wa Embryology, Dr. Keith More, alipopewa aya za Embryology ikabidi afanye revision ya kitabu chake na krudi kwenye Uislam.

Kumbuka Qur'an siyo kitabu cha science Qur'an ni kitabu cha signs.
 
No sio kuabudu miungu namaanisha hizo habari ambazo hata kwenye Quran zimeelezewa

Hoja yangu ni kwamba hiyo dini ilitumia muongozo gani kuandika habari nyeti kama hizo?
Kabla ya kwenda hiko mkuu.

Tubaki hapa kwenye Miungu kwanza tujadili kitu.

Mtoa mada kama nilimsoma vizuri alieleza kuwa hizi habari za Kuabudu Miungu ni habari za watu tu walizianzisha na sio kwwmba annunaki wenyewe waliagiza hayo mambo.

Kwa hiyo kuabudu miungu tuipe jina kama ni uzushi tu.

Lakini uzushi huu wa kuabudu Miungu tunaukuta katika vitabu vya kale kabla ya Qurani na bibilia.

Naomba nikuulize swali huku natambua fika kwamba swali lako sijalijibu(nitalijibu)

Swali langu ni kuwa : kama watu wa kale(yaani sumeria) waliweza kutia uzushi wa kuabudu miungu kwenye maandiko,kwa nini tusihisi kwamba huwenda kuna mambo mengine ya uzushi waliyatia humo katika maandiko hayo ?
 
Wewe ukinitaja mimi weka na hiyo Quote, siyo unatafuta kiki kupitia kwangu.

Embryology imetajwa kwingi sana, lakini Qur'an ndiyo iliyokuja na "accuracy" isiyopingana na Kisayansi ambayo imemshangaza mpaka bingwa wa Embryology, Dr. Keith More, alipopewa aya za Embryology ikabidi afanye revision ya kitabu chake na krudi kwenye Uislam.

Kumbuka Qur'an siyo kitabu cha science Qur'an ni kitabu cha signs.
Sio kutajwa kwingi, sema zipo ancient scriptures zilizoandika hiyo habari miaka mingi kabla ujio wa Quran.

Kwani maelezo gani kuhusu embryology kutoka ancient indian scripture ambayo yanapingana na sayansi?

Kama Dr Keneth More aliandika kitabu baada ya kukubali sayansi hiyo ya Quran basi unabidi uelewe kuwa hiyo sio hoja ya kuifanya Quran iwe special maana hata Dr Druga naye aliweza kuandika kitabu baada ya kuwa motivated na hizo scripures za kihindu kuhusu embroylogy
1650281777488.png
 
Kabla ya kwenda hiko mkuu.

Tubaki hapa kwenye Miungu kwanza tujadili kitu.

Mtoa mada kama nilimsoma vizuri alieleza kuwa hizi habari za Kuabudu Miungu ni habari za watu tu walizianzisha na sio kwwmba annunaki wenyewe waliagiza hayo mambo.

Kwa hiyo kuabudu miungu tuipe jina kama ni uzushi tu.

Lakini uzushi huu wa kuabudu Miungu tunaukuta katika vitabu vya kale kabla ya Qurani na bibilia.

Naomba nikuulize swali huku natambua fika kwamba swali lako sijalijibu(nitalijibu)

Swali langu ni kuwa : kama watu wa kale(yaani sumeria) waliweza kutia uzushi wa kuabudu miungu kwenye maandiko,kwa nini tusihisi kwamba huwenda kuna mambo mengine ya uzushi waliyatia humo katika maandiko hayo ?
Mambo ya kizushi kama yapi?

Mfano nikisema nitumie nukuu ya Sumerian inayohusu heaven and earth kwa ku refer na Bing Bang mi nitapinga madai hayo kwasababu yako irrelevant na bing bang informations
 
Wewe ukinitaja mimi weka na hiyo Quote, siyo unatafuta kiki kupitia kwangu.

Embryology imetajwa kwingi sana, lakini Qur'an ndiyo iliyokuja na "accuracy" isiyopingana na Kisayansi ambayo imemshangaza mpaka bingwa wa Embryology, Dr. Keith More, alipopewa aya za Embryology ikabidi afanye revision ya kitabu chake na krudi kwenye Uislam.

Kumbuka Qur'an siyo kitabu cha science Qur'an ni kitabu cha signs.
Embryology ya Allah huwa inachekesha Sana
Damu inaganda (dead blood) alafu ipo ndani ya mwanamke
Damu iliyoganda inabadilika kuwa pande la nyama ! , Pande la nyama linabadilika linakuwa mifupa tupu alafu mifupa inakuja tena kuvalishwa nyama dah!

Q 23:14. Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama.
 
Mambo ya kizushi kama yapi?
Mambo ya kizushi kama vile ya kuabudu miungu wengi,hili ni jambo la kizushi ambalo lipo katika sumeria,sio sahihi kusema ibada ya miungu wengi ni ya kweli eti kisa tu ipo sumeria.

Mfano nikisema nitumie nukuu ya Sumerian inayohusu heaven and earth kwa ku refer na Bing Bang mi nitapinga madai hayo kwasababu yako irrelevant na bing bang informations
Mimi natumia Qurani kupinga madai ya sumeria kwamba tuabudu Miungu wengi.

Yaani natumia information za Qurani kupinga information za sumeria zinazohusu kuabudu Miungu Mingi.

So kuwa kitabu cha kale hilo halifanyi kwamba kila inachokisema iwe ni sahihi na hakifai kupingwa.

Tunaona kuwa watu wanapingana na sumeria kuhusu ibada Miungu wengi bila kujali ukongwe wake,

hivyo kuwa kitabu cha kale tu hiyo bado haiwi point ya Msingi ya kuwa information zake zote ziwe za uhakika.
 
Mambo ya kizushi kama vile ya kuabudu miungu wengi,hili ni jambo la kizushi ambalo lipo katika sumeria,sio sahihi kusema ibada ya miungu wengi ni ya kweli eti kisa tu ipo sumeria.

Mimi natumia Qurani kupinga madai ya sumeria kwamba tuabudu Miungu wengi.

Yaani natumia information za Qurani kupinga information za sumeria zinazohusu kuabudu Miungu Mingi.

So kuwa kitabu cha kale hilo halifanyi kwamba kila inachokisema iwe ni sahihi na hakifai kupingwa.

Tunaona kuwa watu wanapingana na sumeria kuhusu ibada Miungu wengi bila kujali ukongwe wake,

hivyo kuwa kitabu cha kale tu hiyo bado haiwi point ya Msingi ya kuwa information zake zote ziwe za uhakika.
kumbuka Sumeria waliabudu miungu inayoonekana Kwa macho Yao,
Tena wakaenda mbali zaidi na kusema sio miungu tu Bali Waliotoka mbinguni direct na hao Miungu waliwaongoza Katika maisha ya kaiwaida yaani nao wanakula,wanalala,wanashare mapenzi nao,wanazaa Mpaka na watoto.

Wasumeria sio wendawazimu kiasi hicho watunge uongo na kuandika kwenye clay tablets
Kwa akili ya kawaida hao Miungu inaonekana walikua ni Viumbe tu Tena wenye ujuzi na maarifa makubwa kuwazidi wao ndio maana wanapewa title 'gods'
Ikiwa na maana walioshuka kutoka juu mbinguni
(Nephilim 12th Planet Nibiru)
 
Back
Top Bottom