ANUNNAKI: Nadharia za Mungu, miungu, fumbo la sciencenscience na Teknolojia kubwa katika Dunia ya kale, kuanguka Kwa civilization na kuinuka Tena

ANUNNAKI: Nadharia za Mungu, miungu, fumbo la sciencenscience na Teknolojia kubwa katika Dunia ya kale, kuanguka Kwa civilization na kuinuka Tena

Dumas: twende misri okaone pyramids_[emoji574][emoji574][emoji574] hadi Giza, hii hapa [emoji903].. sema tena

Kisai: Haya mawe tu, thibitisha kama hiki sio kichuguu.?

The Dumas got his mood.! [emoji84][emoji83]
Sikua na mood ya kucheka Leo daaaa

😂😂😂😂😂😂🔥🔥
 
Hiyo ni baada ya kufanyiwa collection, collection ilifanyika baada ya vita
Hapana mkuu Qurani kama kitabu kilikuepo na ukusanywaji wake ulianza tokea wakati wa mtume mwenyewe Qurani ilikuwa katika maandishi ipo na watu pia walihifadhi katika nafsi zao.
 
Hapana mkuu Qurani kama kitabu kilikuepo na ukusanywaji wake ulianza tokea wakati wa mtume mwenyewe Qurani ilikuwa katika maandishi ipo na watu pia walihifadhi katika nafsi zao.
Napinga hoja yako kwasababu historical evidence inaonesha kuwa kulikuwa na hofu kubwa ya Quran kupotea katika uso wa dunia kufuatia kifo cha hao maswahaba waliokuwa wame hifadhi the entire Quran

Abu Bakr ndio aliyetoa order kwa Ibn thabit ambaye alikuwa chief editor (secretary) wa mtume kuwa afanye jitihada za kukusanya pande tofauti tofauti.

Hakuna historia ambayo inaonesha kulikuwa na kitabu cha Quran during mtume.
 
WANEFILI NA JINSI WALIVYOTOKEA DUNIANI.

BWANA YESU asifiwe.
Karibu nikujize jambo hili.
Wanefili maana yake majitu au walioanguka.
Hawa walikuwa ni wanadamu walizaliwa kutokana na mahusiano ya kimapenzi kati ya wana wa MUNGU na binti wa binadamu.
Mwanzo 6:1-5 ''Ikawa wanadamu walipoanza kuzidi usoni pa nchi na wana wa kike walizaliwa kwao, wana wa Mungu waliwaona hao binti za wanadamu ya kuwa ni wazuri; wakajitwalia wake wo wote waliowachagua.BWANA akasema, ROHO yangu haitashindana na mwanadamu milele, kwa kuwa yeye naye ni nyama; basi siku zake zitakuwa miaka mia na ishirini.Nao Wanefili walikuwako duniani siku zile;tena ,baada ya hayo ,wana wa Mungu walipoingia kwa binti za binadamu,wakazaa nao wana;hao ndiyo waliokuwa watu hodari zamani ,watu wenye sifa. BWANA akaona ya kuwa maovu ya mwanadamu ni makubwa duniani na kwamba kila kusudi analowaza moyoni mwake ni baya tu sikuzote.''.
-wana wa Mungu hawa walikuwa ni malaika walioanguka (mapepo) ambao walioa wanawake binadamu waliopagagwa kwa nguvu za giza za mapepo hayo .
Uhusiano huu ulisababisha watoto Wanefili.
Mwanzo 6:4 '' Nao Wanefili walikuwako duniani siku zile;tena ,baada ya hayo ,wana wa Mungu walipoingia kwa binti za binadamu,wakazaa nao wana;hao ndiyo waliokuwa watu hodari zamani ,watu wenye sifa.''
shetani kupita mapepo alikuwa anajaribu kuchafua damu ya binadamu ili kuzuia ujio wa MWOKOZI YESU KRISTO.
MUNGU aliahidi kwamba Masihi atakuja kutoka uzao wa Hawa ambaye ataponda kichwa cha joka hilo yaani Shetani.
Mwanzo 3:15 '' nami nitaweka uadui kati yako na huyo mwanamke, na kati ya uzao wako na uzao wake; huo utakuponda kichwa, na wewe utamponda kisigino.''
Hivyo, mapepo au malaika walioasi walitumika ili kujaribu kuzuia hili na kuchafua ukoo wa binadamu, na kufanya ugumu kwa ajili ya Masihi asiye na dhambi kuingia duniani kupitia mwanamke.
Wanefili walikuwa walikuwa kizazi kikubwa cha mashujaa maarufu ambao walifanya vitendo vya uovu mkubwa.
ukubwa na nguvu zao zilitokana na mchanganyiko wa “chembe cha za damu” ya mapepo na zile za binadamu. Biblia inasema kuhusu wao ni kwamba walikuwa "mashujaa wa zamani, watu wenye sifa" (Mwanzo 6:4 ).
Wanefili walikuwa si wageni, walikuwa halisi, viumbe wa kimwili zinazozalishwa kutoka muungano wa malaika waasi na binti wa watu
mapepo walirudia tendo la dhambi wakati mwingine baada ya mafuriko. Hata hivyo, ilifanyika kwa kiasi kidogo kuliko ilivyokuwa kabla ya mafuriko. Wakati wana wa Israeli walipeleleza nchi ya Kanaani wao walimpasa Musa taarifa:
Hesabu 13:33 "Kisha huko tuliwaona Wanefili, wana wa Anaki, waliotoka kwa hao Wanefili; tukajiona nafsi zetu kuwa kama mapanzi; nao ndivyo walivyotuona''.
Na hata sasa ndio maana ni lazima sana kila mwanadmu kuokoka kwa kumpokea YESU KRISTO na kuomba maombi au kuombewa maombi ya kujitenga na kila nguvu za Giza.
Mchakato wa BWANA YESU kutuokoa una maana kubwa sana.
Maana mojawapo ya BWANA YESU kutuokoa, Biblia inasema kwamba MUNGU alituhamisha kutoka nguzu za giza na kutuingiza katika ufalme wa Mwana wake wa pekee YESU KRISTO.
Wakolosai 1:13 ''Naye(MUNGU) alituokoa katika nguvu za giza, akatuhamisha na kutuingiza katika ufalme wa Mwana wa pendo lake(YESU ); ambaye katika yeye tuna ukombozi, yaani, msamaha wa dhambi;''
Kizazi cha manefili kilikuja baada ya adamu, kilikuja wakati Wa kabla ya gharika ya Nuhu . ni baada ya baadhi malaika kuacha enzi yao na kuja kufanya dhambi na wanadamu hivyo vilivyozaliwa hakikuwa wanadamu Wa kawaida bali ni wanadamu Wa ajabu wakiwemo wanefili.
Ufunuo 12:17 ''Joka akamkasirikia yule mwanamke, akaenda zake afanye vita juu ya wazao wake waliosalia, wazishikao amri za MUNGU, na kuwa na ushuhuda wa YESU; naye akasimama juu ya mchanga wa bahari.''
-Tangu zamani shetani amekasirika dhidi ya mwanamke na amedhamiria kufanya vita juu ya uzao wa mwanamke, vita hiyo ni kuhakikisha uzao wa mwanamke haumpendezi MUNGU.
Wanefili ni zao la hasira ya shetani kwa uzao wa mwanamke.
Lakini ashukuriwe MUNGU kwa BWANA wetu YESU KRISTO kuja kutuokoa.
Kitendo cha Malaika kuasi mbinguni na kuja kufanya uasherati na wanadamu ili kupelekea kuzaliwa kwa watu walio na ushetani ndani yao Lilikuwa ni kosa kubwa kwa MUNGU.
malaika kuacha enzi yao na kuja kufanya dhambi, malaika hao waliadhibiwa na wako kifungoni wakisubiri jehanamu.
Yuda 1:6 " Na malaika wasioilinda enzi yao wenyewe, lakini wakayaacha makao yao yaliyowahusu, amewaweka katika vifungo vya milele chini ya giza kwa hukumu ya siku ile kuu. "
Unefili ulikuwa ni mkakati wa kuhakikisha wanadamu hawaendi kuishi katika uzima wa milele lakini ashukuriwe BWANA YESU kwa kuja kutukomboa na kututoa katika kila nguvu za giza na tunawekwa huru kwa damu ya YESU KRISTO.
Warumi 6:22-13 ''Lakini sasa mkiisha kuwekwa huru, na kuwa mbali na dhambi, na kufanywa watumwa wa MUNGU, mnayo faida yenu, ndiyo kutakaswa, na mwisho wake ni uzima wa milele. Kwa maana mshahara wa dhambi ni mauti; bali karama ya MUNGU ni uzima wa milele katika KRISTO YESU BWANA wetu.''
Damu ya YESU KRISTO ina uwezo wa kututenga na kila nguvu za giza.
BWANA YESU akikuweka huru hakika utakuwa huru.
Yohana 8:36 '' Basi Mwana(YESU) akiwaweka huru, mtakuwa huru kweli kweli.''
Mapepo ni wanefili ambao hawatakiwi kuishi ndani ya mtu.
mapepo yako kifungoni sasa maana yake kuna vitu MUNGU ameyazuilia kufanya kwa wanadamu lakini mwanadamu akiwa mbali na KRISTO anaweza kuvamiwa na mapepo na mapepo hayo yatamfanya mwanadamu huyo kuwa shujaa katika kutenda dhambi.
Kuna watu leo ni mashujaa wa kipepo(kinefili) wa kunywa pombe nyingi.
Kuna watu leo ni mashujaa wa kipepo wa kubadili wanawake/wanaume kama nguo. huo ni unefili unaotakiwa kuondolewa kwa jina la YESU KRISTO ndipo mtu atakuwa huru tena bila kuongozwa na nguvu za giza.
2 Kor 5:17 '' Hata imekuwa, mtu akiwa ndani ya KRISTO amekuwa kiumbe kipya; ya kale yamepita tazama! Yamekuwa mapya.''
Naamini kabisa kuna kitu umejifunza, lakini lengo la kwanza la MUNGU ni wewe uokoke. Kama unaishi maisha ya dhambi ndugu nakuomba tubu na okoka.
Kama hujampokea YESU nakuomba umpokee leo na uanze kuanzia leo kuishi maisha matakatifu ya wokovu.
Kama wewe ni mtu wa kanisani lakini maisha yako yamejaa dhambi nakuomba okoka upya na amua kumpendeza MUNGU kuanzia leo.
Kama wewe umegeuza kanisa kama kichako chako cha kuficha uovu wako , nakusihi sana umche MUNGU maana kuna ziwa la moto kwa waovu, lakini pia kuna uzima wa milele kwa wateule wa KRISTO wanaoishi maisha matakatifu.
MUNGU wangu akubariki sana na akupe
ufahamu wa kumjua yeye na Neno lake, akupe
ufahamu wa kuliishi kusudi lake jema kwako.
ubarikiwe sana pia kwa kujifunza masomo
yangu.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Mkuu sijakuelewa unaposema mapepo yamefungwa, alafu Bado yanawaingia watu. Sasa Kuna utofauti Gani hapo?
 
Mleta mada naomba kueleweshwa kidogo, je, hao anunaki ndiyo alien?, au ni viumbe tofauti, kama ni tofauti naomba uelezee japo Kwa kifupi hao alien.
 
Mleta mada naomba kueleweshwa kidogo, je, hao anunaki ndiyo alien?, au ni viumbe tofauti, kama ni tofauti naomba uelezee japo Kwa kifupi hao alien.
Annunak ndio Alliens wa kale mwonekano wao katika michoro na Kazi za Sanaa za Wasumeria Wana mwonekano wa Modern human ila ni warefu Mpaka futi 12 wakiwa na Mbawa mbili kubwa,
Katika Maandiko ya Israelites wanatajwa kama
Watchers/Nephilims au Angels
Pia ANNUNAKI Wengine ni Jamii ya reptilians au utaweza waita Mijusi wa kidrako!
 
Nawao wanakufa na kuzailiana?
Pia hao jamii ya reptilians na wao Wana advance technology? kama Kuna matukio Yao elezea kidogo
 
Nawao wanakufa na kuzailiana?
Pia hao jamii ya reptilians na wao Wana advance technology? kama Kuna matukio Yao elezea kidogo
Mkuu ukisoma maandiko ya Sumeria yanadai hao gods wanazaliwa na kufa pia,ila wanaishi miaka mingi mno yaani wao miaka 5000 kiumbe mmoja kutoboa ni kawaida tu mfano ukisoma kwenye maandiko utaona bloodline Ya watoto aliyewazaa Adam/Adapa pale Eden/Aden katika mji wa Eridu alifanyiwa human manipulation na cloning Kwa kutumia genre zao ndio maana alipata ishi miaka mingi na pia watoto na Wajukuu zake kama kina Cain Enoch,Nimrodi nk walipata ishi miaka mingi mno waliweza toboa miaka 500 mpaka 900
Ile ilichangiwa na DNA zao na hao ANNUNAK wakati wanafanyiwa uhai, Ngoja nikupe Siri Moja unajua kwanini kitabu Cha Mwanzo kinasema Enoch alienda Mbinguni Kwa kutwaliwa na Mungu?

Pale ilimaanisha jamaa aliondoka na Moja ya Miungu Annunaki na kupelekwa 12th Planet Nibiru (Heaven) Maana jamaa alikua mwaminifu na aliishi njia za miungu na alikubalika na jamii za Wanibiru kumbuka Bloodline ya Adamu imetembea mpaka Kwa Abraham ndio maana wale jamaa walikua na upendeleo duniani na ni Loyal family Kwa sababu ndio kizazi kile kilichofanywa na Nephilim/Annunaki kwenye Maabara zao,

Leo hii mmewageuza watakatifu na maajent Kwa MUNGU Elohim/Elojim /YHW
(Master of High Chamber from 12th Planet Nibiru) mmoja wa miungu wa ANNUNAK. Nakuambia hii Siri kuhusu nadharia za MUNGU na Miungu mlifichwa ndio maana waafrika tunataabika kuomba viumbe visivyo na msaada na msipo amka kiakili mtapigwa Jamii za wazungu walipogundua wao ni kina nani wakatumia chance kuaziacha nadharia za Dini na kujikita kwenye Sayansi na teknolojia ambayo mwasisi wao ni Hiyo miungu iliyowatengeneza kwenye maabara hapo kale

Don't play na Caucasian society ni hatari Leo Kila vumbuzi wanaleta wao unadhani hayo maarifa wanapata wapi?
Kwamba wanajua Sana kufikiria new ideas na ma formula ya kufa Mtu yanayokuwezesha kuona Dunia ni smart?

Secreto,secreto secreto!
 
Napinga hoja yako kwasababu historical evidence inaonesha kuwa kulikuwa na hofu kubwa ya Quran kupotea katika uso wa dunia kufuatia kifo cha hao maswahaba waliokuwa wame hifadhi the entire Quran

Abu Bakr ndio aliyetoa order kwa Ibn thabit ambaye alikuwa chief editor (secretary) wa mtume kuwa afanye jitihada za kukusanya pande tofauti tofauti.

Hakuna historia ambayo inaonesha kulikuwa na kitabu cha Quran during mtume.

Ilishuka taratibu na iliandikwa na kuhifadhiwa kimaandishi na hayo maandishi ndio kitabu chenyewe.

Labda kwa hoja ya kuwa hakikukamilika wakati wa mtume sahihi kwa sababu bado ilikuwa aya zake zinaendelea kushuka.

Kwa mantiki hiyo naungana na wewe kwamba wakati wa mtume hakukuwa na kitabu cha Qurani kilichokamilika kwamba kilikuwa tayari official kitumike kama hivi vya leo tulivyokuwa navyo.
 
Ilishuka na kuhifadhiwa kimaandishi na nani?

Mi nazungumzia miaka.mingi kupita tangu mtume kufa ndipo zoezi la ukusanyaji lilipochukua nafasi.
 
Ilishuka na kuhifadhiwa kimaandishi na nani ?
Ni masahaba wake ndio waliifanya kazi hiyo,na hata kuna vitabu ukisoma hizo habari zipo na sio kwamba hakuna historia ambazo zimeandika kama ulivyoeleza huko juu.
Mi nazungumzia miaka.mingi kupita tangu mtume kufa ndipo zoezi la ukusanyaji lilipochukua nafasi.
Ishu ya ukusanyaji ilichukua nafasi hata wakati wa Mtume na sio kwamba watu walikuwa wamezinduka miaka mingi baada ya kufa mtume hapana.

Mfano ukisoma kitabu kama الإتقان في علوم القرآن yaani al-itqaanu fiy uluum al quraan kwa maana ya ukamilifu katika elimu ya Qurani.

Ukisoma kitabu hiko juzuu ya 1 page ya 72 utakutana na hadithi hii..

bwana aitwaye muhammad ibn kaab anasema
"Qurani ilikusanywa wakati wa mtume na watu watano katika watu wa ansari ambao ni

Muadh ibn jabir
Ubaadata ibn thaabit
Ubayy ibn kaab
Abuu dardaai
Abuu ayuwba an answaari.

Kwa hiyo katika vitabu vya historia zipo ishara kwamba Qurani ilikusanywa pia wakati wa mtume na sio kwamba iliachwa tu ovyo ovyo hapana mkuu.
 
Mkuu ukisoma maandiko ya Sumeria yanadai hao gods wanazaliwa na kufa pia,ila wanaishi miaka mingi mno yaani wao miaka 5000 kiumbe mmoja kutoboa ni kawaida tu mfano ukisoma kwenye maandiko utaona bloodline Ya watoto aliyewazaa Adam/Adapa pale Eden/Aden katika mji wa Eridu alifanyiwa human manipulation na cloning Kwa kutumia genre zao ndio maana alipata ishi miaka mingi na pia watoto na Wajukuu zake kama kina Cain Enoch,Nimrodi nk walipata ishi miaka mingi mno waliweza toboa miaka 500 mpaka 900
Ile ilichangiwa na DNA zao na hao ANNUNAK wakati wanafanyiwa uhai,
Ngoja nikupe Siri Moja unajua kwanini kitabu Cha Mwanzo kinasema Enoch alienda Mbinguni Kwa kutwaliwa na Mungu?
Pale ilimaanisha jamaa aliondoka na Moja ya Miungu Annunaki na kupelekwa 12th Planet Nibiru (Heaven)
Maana jamaa alikua mwaminifu na aliishi njia za miungu na alikubalika na jamii za Wanibiru kumbuka Bloodline ya Adamu imetembea mpaka Kwa Abraham ndio maana wale jamaa walikua na upendeleo duniani na ni Loyal family Kwa sababu ndio kizazi kile kilichofanywa na Nephilim/Annunaki kwenye Maabara zao,
Leo hii mmewageuza watakatifu na maajent Kwa MUNGU Elohim/Elojim /YHW
(Master of High Chamber from 12th Planet Nibiru)
mmoja wa miungu wa ANNUNAK
Nakuambia hii Siri kuhusu nadharia za MUNGU na Miungu mlifichwa ndio maana waafrika tunataabika kuomba viumbe visivyo na msaada na msipo amka kiakili mtapigwa Jamii za wazungu walipogundua wao ni kina nani wakatumia chance kuaziacha nadharia za Dini na kujikita kwenye Sayansi na teknolojia ambayo mwasisi wao ni Hiyo miungu iliyowatengeneza kwenye maabara hapo kale

Don't play na Caucasian society ni hatari Leo Kila vumbuzi wanaleta wao unadhani hayo maarifa wanapata wapi?
Kwamba wanajua Sana kufikiria new ideas na ma formula ya kufa Mtu yanayokuwezesha kuona Dunia ni smart?

Secreto,secreto secreto!
Mkuu sijui kama ni wewe au nani alisema kwamba uislamu ni dili la muhammad na wajamaa flani walimpa mchongo aanzishe dini kwa makubaliano.

Siku mkianzisha hii mada naomba nitagiwe ili nije kujifunza vitu.

Asante.
 
Ni masahaba wake ndio waliifanya kazi hiyo,na hata kuna vitabu ukisoma hizo habari zipo na sio kwamba hakuna historia ambazo zimeandika kama ulivyoeleza huko juu.

Ishu ya ukusanyaji ilichukua nafasi hata wakati wa Mtume na sio kwamba watu walikuwa wamezinduka miaka mingi baada ya kufa mtume hapana.

Mfano ukisoma kitabu kama الإتقان في علوم القرآن yaani al-itqaanu fiy uluum al quraan kwa maana ya ukamilifu katika elimu ya Qurani.

Ukisoma kitabu hiko juzuu ya 1 page ya 72 utakutana na hadithi hii..

bwana aitwaye muhammad ibn kaab anasema
"Qurani ilikusanywa wakati wa mtume na watu watano katika watu wa ansari ambao ni

Muadh ibn jabir
Ubaadata ibn thaabit
Ubayy ibn kaab
Abuu dardaai
Abuu ayuwba an answaari.

Kwa hiyo katika vitabu vya historia zipo ishara kwamba Qurani ilikusanywa pia wakati wa mtume na sio kwamba iliachwa tu ovyo ovyo hapana mkuu.
Mkuu kupitia histiria ya kipindi hicho inaeleza katika kipindi cha mtume Quran ilikuwa memorized na ni waandishi 42 (I stand to be corrected) walioweza kuandika some verses sehemu tofauti tofauti kama kwenye vipande vyanl nguo, karatasi, mifupa nk.

katika hizo nyakati za kale watu wengi hawakuweza kuwa na elimu ya kusoma na kuandika akiwemo muhammad.

Katika kipindi cha utawala wa Abu Bakr ambapo watu walioijua Quram kwa kuihifadhi vifuani kufariki kwenye vita ya Yamama

Kuna mtu alikuwa akiitwa Umar alimfata Abu Bakr na kumuambia juu ya uwezekano wa Quran kuwa complete lost kufauatia vifo vya wale walioweza kuihifadhi.

Hapo ndipo wakamtafuta aliyekuwa secreatary wa muhammad Ibn thabit asimamie hilo swala na wakaji organize na ku form kundi lingine lenye member 12

Hapo ndio zoezi la utafutaji wa masalia ya aya ulipoanza

Sasa ukinambia kipindi cha mtume watu walikuwa wanakusanya unakuwa unanichanganya.

Wanakusanya kutoka wapi na wakati kipindi hicho hao 70 people walio memorize Quran yote walikuwepo?

Unasema Quran ilikiwa inaendelea kushuka, kwa maana kwamba hata baada ya Muhaamad kufa kumbe kuna verse zilikuwa zinashuka?

Zilikuwa zinashuka kwa nani?
 
Wanakusanya kutoka wapi na wakati kipindi hicho hao 70 people walio memorize Quran yote walikuwepo?
Kukusanya maana yake mkuu ni kuitoa katika vifua na kuiweka katika maandishi yaani nakala ambaayo inachukulika.

Wakati wakati wa Mtume Qurani ilikuwa haijamalizika kushuka so huwezi kusema kwamba walikuwepo watu ambao wamehifadhi Qurani yote wakati ingine ilikuwa bado inaendelea kumshukia mtume.

So cha kusema ni kwamba wakati wa mtume wapo ambao walikuwa wamehifadhi Qurani ambayo imeshashuka tayari na sio Qurani yote.
Unasema Quran ilikiwa inaendelea kushuka,
Naam kipindi cha uhai na uzima wa mtume Qurani iliendelea kushuka kwa sababu aya nyingi zilikuwa zinashuka na matukio fulani yanapotokea.

Na wakati mtume yupo hai matukio yalikuwa yanaendelea kutokea so Qurani iliendelea kushuka ili kutoa miongozo mbalimbali.
kwa maana kwamba hata baada ya Muhaamad kufa kumbe kuna verse zilikuwa zinashuka?
Nikisema wakati wa mtume nakusudia wakati mtume yupo hai,so baada ya kufa mtume Qurani haikushuka tena ikabakia ile ile ambayo ilishuka tayari wakati mtume yupo hai.
katika hizo nyakati za kale watu wengi hawakuweza kuwa na elimu ya kusoma na kuandika akiwemo muhammad
Ni kweli wengi hawakujua kuso.a na kuandika lakini usisahau ndugu scars kwamba masahaba SIO WOTE kwamba walikuwa hawajui kusoma na kuandika(naamini unajua neno wengi haimaanishi wote)

Ndio maana ukisoma historia ya uislamu unakuta kwamba mtume alikuwa anaongozana na masahaba zake wakimuandikia mikataba mbalimbali ambayo alikuwa akiifunga na makabila mbalimbali.

Hiyo maana yake wapo masahaba ambao walijua kusoma na kuandika vizuri kuliko mtume muhammad.
Sasa ukinambia kipindi cha mtume watu walikuwa
Haha mkuu hata wewe unanichanganya pia unaposema kwamba kwanza ilikusanywa baada ya wale masahaba kuuwawa wakati mimi nina nukuu kadhaa zinazoashiria kwwmba jambo hilo lilifanyika tokea wakati wa mtume mwenyewe akiwa hai.
Hapo ndipo wakamtafuta aliyekuwa secreatary wa muhammad Ibn thabit asimamie hilo swala na wakaji organize na ku form kundi lingine lenye member 12
Kitendo cha kumtafuta huyo mtu maana yake walijua kwamba alikuwa ameshaifanya hiyo kazi ya kuikusanya Qurani.

Kwa sababu huyo ibn thaabit ni katika watu ambao walikuwa wakiikusanya Qurani wakati wa mtume.

Hadithi ambayo nimekutajia mkuu pale juu katika wale watu watano basi huyo ibn thaabit yumo kwa maana akijulikana kwa kazi yake hiyo ya kukusanya Qurani tokea wakati wa mtume.

Neno kukusanya maana yake ni kuiandika Qurani katika sehemu moja kimpangilo kwamba sura hii ina aya hizi na hiz n.k
 
Unajua maana ya neno Mungu kwanza?
Unapodai Kuna Mungu ila haonekani unaleta utata sababu huwezi Thibitisha uwepo wake,

Nikupe SoMo Leo kijana
Maana ya
'GOD' ni master of high chamber katika accient civilization ya Mesopotamia walitumia
'ANU' wakimuwakilisha mtawala wa Sayari ya Nibiru kwasababu ya watoto zake kuja Duniani kutafuta gold watoto zake wakaitwa wa Annak au
'gods' ikiwa na maana walioshuka kutoka juu mbinguni au mawinguni na kuja Duniani kutafuta dhahabu

'Miungu' ni watoto wa Mungu mkuu wa Mbingu sababu wanae walikuja duniani hivyo ni mkuu wa mbinguni na Duniani hapa ndipo Siri na nadharia ya Uungu ilipoanzia na Mungu Sio jina ni cheo Cha mtawala wa Dunia na mbingu
ANU alikua Mtangulizi wa kale wa miungu aliyekua na mamlaka kuu baadae walifuatia miungu Wengine mfano
Kuna Mungu Elohim/YHW huyu watu wengi humwabudu katika Dini za kisasa huko waabuduo hawajui ni Moja ya Miungu wa kale wa ANNUNAKI na Aliabudiwa na Abraham aliyetokea Uru ya Ukaldayo Mesopotamia ambako Ndio nadharia za Mungu na miungu zilianzia sababu ya uwepo wa ANUNNAKI
Soma historia utajua ujinga wa kuwaita viumbe Mungu ndio utajua utapeli wa Dini mlizoletewa waafrika na mkazimeza nzima nzima!
Kwa jinsi nilivofundishwa kuhusu Mungu ni kwamba yeye ndio alpha and omega?, yeye ndiye Muumba wa kila kitu, alikuweko hata kabla ya ulimwengu sasa iweje tena atume watu kuja kuchunguza uwepo wa dhahabu Duniani wakati yeye ndiye aliiumba dunia na compositions zake anazijua?
 
Siamini kila ninachoambiwa. Kuna pande tatu za hio story; 1_Upande wa msimuliaji, 2_Upande wa msikilizaji (mimi), na 3_Upande wa uhalisia wa story (ina ukweli kiasi gani)...

Story yako nimeisoma kwa paragraph 4 tu za mwanzo, nimeona haina manufaa yoyote...
 
Kwa jinsi nilivofundishwa kuhusu Mungu ni kwamba yeye ndio alpha and omega?, yeye ndiye Muumba wa kila kitu, alikuweko hata kabla ya ulimwengu sasa iweje tena atume watu kuja kuchunguza uwepo wa dhahabu Duniani wakati yeye ndiye aliiumba dunia na compositions zake anazijua?
Umefundishwa yeye ni Alpha na Omega sababu Hayo mafundisho yametolewa na Accient SUMERIAN wakimzungumzia ANU ambaye ndie mtawala mkuu wa mbinguni (Nephilim 12th Planet Nibiru)

Alpha na Omega Ina Maana akiwa na maamuzi ya mwisho Katika kuhukumu kama mfalme na lolote atakalo amua linakua final decision,
Pia waliokufundisha kuhusu nadharia ya MUNGU hawakukuambia
Ukweli maaana Neno MUNGU sio Jina ila ni cheo ni kama vile Leo title ya Mfalme au rais
Lazima utaje Jina la Mtu/Kiumbe mwenye cheo hicho
Katika accient tablets Neno MUNGU lilianzia Sumeria likiwa na Maana
MUNGU - Master of High Chamber
Ambaye ndie mtawala wa mbinguni
(Nephilim 12th Planet Nibiru)
Au utaweza ukuite heaven
 
Kitu kingine; umetusema sana waafrika kwamba hatuvumbui sayansi na teknolojia kisa nadharia zetu za Mungu. Sio kweli...

Sayansi na tech zitaendelezwa kama tukimfuata vizuri Mungu. Imagine jamii nzima kuungana kila mmoja akitafuta namna ya kumtendea mwenzie vizuri zaidi [Golden rule] bila kuogopana wala kutengana tukiwa tumeunganishwa chini ya Mungu mmoja, Mungu Baba?. Mgawanyiko wa kidini ndo mbaya ila nadharia ya Mungu mmoja is the best of all
 
Mungu Gani huyo akifuatwa waafrika tutapiga hatua kimaendeleo?
 
Mungu Gani huyo akifuatwa waafrika tutapiga hatua kimaendeleo?
Imagine yule mkubwa kabisa, yule wa mwanzo kabisa[na mwisho] ndio huyo. Maana hata yeye alijitambulisha tu IAM THAT IAM -NIKO AMBAYE NIKO.

Kwa hiyo your wildest[and domesticatest🤦‍♂️😂🤣] imagination ndio huyo tumuabudu
 
Back
Top Bottom