Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee...Ukiwa mwadilifu huwezi kudumu kwenye jeshi la Polisi
Kamati yenyewe imejaa wenye manyota. Hakuna kitu hapoHivi kamati ya uchunguzi wa mtwara ilifikia ilishatoa majibu ya kueleweka na wale majambazi wenye manyota wanapelekwa lini mahakamani?
Ndiyo ukweli mangiAisee...
Huyu Polisi Laizer alistahili kupata kilichompata. Ukiwa mwajiriwa una mipaka na protoko za kufuata. Ukijifanya mjuaji ndio yanatokea hayo. Apambane nayo sasa na sio kulialia kila siku humu JF.Ukiwa mwadilifu huwezi kudumu kwenye jeshi la Polisi
Wahalifu hawalindwi.... Ila kuna baadhi ya wahalifu wanalindwa...Kwahyo unataka kusema mwalifu pia analindwa Kama tkk kesi yangu ya madale
Hiyo nafasi ya kumpa mkononi utaipata wapi? Watu wanaandika barua ikulu na yanatoka majibu mepesi tu.... Eti tunafuatilia basi...Jf ndo jukwaa pekee la kutoa taarifa za siri. Vinginevyo mpe Samia mkononi.
Wewe unaongozwa na ufuasi wa Chuki zaidi.Hili ni jukwaa la siasa, vilio vya polisi sio jukwaa hili. Halafu hao viongozi wanaodanganywa tu huwa wanakaa ofisini wakifanya nini?
Wewe unaongozwa na ufuasi wa Chuki zaidi.
Punguza mihemko na jaribu kuutumia ushauri wa mwenyekiti wenu Mbowe.
PoorHuyu Polisi Laizer alistahili kupata kilichompata. Ukiwa mwajiriwa una mipaka na protoko za kufuata. Ukijifanya mjuaji ndio yanatokea hayo. Apambane nayo sasa na sio kulialia kila siku humu JF.
Ukiwa mwadilifu huwezi kudumu kwenye jeshi la Polisi
Ni kanuni tu. Sio kila mtu anaridhika na kinachoendelea kwenye taasisi wanazofanyia kazi. Jifanye mjanja yakukute ya Laizer. Na yakiishakukuta, pambana na sio kulialia!Poor
😳😳😳😳😳Tuache masihara
Polisi Tanzania ni genge la wahuni