Anza biashara ya kuagiza simu kutoka China hadi Tanzania kwa mtaji mdogo wa laki tano tu

Mzigo bado uko nao? Au ushazimaliza? 😀
 
Alfu chakukusaidia kunakitu kilikuwa kinaitwa March expro kwa walio tumia App ya Alibaba March watakuwa wanajua so March vitu Vilikuw bei rahis mno
Nakumbiaje? Hata ingekuwa March-sagurasagura hakuna simu ya Nokia ya bei hiyo. Hizi zinafyatuliwa na wachina huko uchochoroni. Tuombe Mungu atusaidie zisiwe zimetengenezwa kwa material zenye madhara au zina radio waves za hatari kwani kizazi chetu kitakwisha. Nchi inaingiza kila aina ya ''takataka'' kutoka China. Fedha zimeondoa utu wa wanadamu!
 
Slow down my brother utapata presha bure
 
Nauza simu pia ila hizi nokia zimeingia fake sana kuna jamaa kaanguka kibiashara vibaya yaani zimemtoa njiani kisa zina matatizo mbalimbali yaani mie nilichukua kwame pic 6 nikaishia kumrudishia zote mbovu.

Kiuhalisia sidhani kama zina quality ya toleo halisi la Nokia maana toleo OG ninalo home kwangu moja yangu nyingine ya bibie.

Haya matoleo kutokea China siyo kabisa
 
Utalia na huto tu simu, unaweza kuta network inapatikana chooni tu… itakupasa simu zote uwe unaenda kuongelea chooni.. nje ya mlango chooni hukapati.. mie kangu kalikuwa kakifik kambini ndio kanakubali..
Kaka muogope mungu acha kuwaongopea watu kwa makosa yako binafsi hizi simu ni uhakika ukinunua hiz nokia unapewa warrant 12 month tuone itakufa lini sasa wew umepigwa huko umepewa simu mbovu unaamini kila simu itakuwa mbovu acha kuwapotosha watu kak
 
Kaka muogope mungu acha kuwaongopea watu kwa makosa yako binafsi hizi simu ni uhakika ukinunua hiz nokia unapewa warrant 12 month tuone itakufa lini sasa wew umepigwa huko umepewa simu mbovu unaamini kila simu itakuwa mbovu acha kuwapotosha watu kak
Akanunue sasa, atakuja toa ushuhuda. Haina haja ya kulumbana.. nimeongea kweli mtupu.. sina haja ya kuongo pea
 
Upo sahih kwa mtazamo wako ila hiz nokia ni og kabisa boss
 
Aisee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…