Anza biashara ya kuagiza simu kutoka China hadi Tanzania kwa mtaji mdogo wa laki tano tu

Anza biashara ya kuagiza simu kutoka China hadi Tanzania kwa mtaji mdogo wa laki tano tu

Unapata hasara eti mzigo wa Nokia wa laki moja na Sitini nauri 358000
160,000+358,000= 518,000 Simu moja uku za nokia 40000 hadi 35000 maana ake hakuna kitu unapata labda matumizi binafsi
 
Ataipata siku 1

mtoa uzi nakushaur kuwa njia pekee ya kuagiza simu ni ule mtindo wanautumia wafanyabiashara wengi kuchukua mzigo wa simu kwa agent anayetoa ulaya, china na kusupply kama wholesaler

hapa bongo kama sikosei wapo wa5 tu.
ndo registered Big Agents hapa bongo
Ushukuru ila nipo makin sana naninauhakik naninachokifanya
 
Huko vitu ni rahisi sana niliona earpod mpaka zinafika dar gharama yake ni kama 9k
Kwel kaka piah niliagiza raba zimenifikia leo hii bei elf kumi nasita tu mpak dar View attachment 2605187View attachment 2605188
IMG20230428173834.jpg
 
Comment mbovu zisikuvuruge kabisa, wa Tanzania unatujua tupo nyuma sana. Uwa tunaona mabaya kwenye kila kitu. Nilitegemea nitakutana na maswali positive, km kuomba kujifunza kwa kumuona mshkaji kabisa. Ikiwezekana hata kumuunga mkono na ameweka wazi kabisa warrant anatoa ya mwaka. Km una physical address yake means unamrudishia mzigo anakupa pesa yako. Hata hili nalo linasumbua au kufikirisha? Tutaendelea kuwakatisha tamaa wanaotamani kutupa njia za fursa kwa kujificha kwenye mwamvuli wa utapeli.

Ndio maana Mungu alitupa uwezo pekee kabisa wa kufikiri ambao ni tofauti na wanyama. Ila kuna binadamu wenzetu bado wanafikiri kama wanyama. Imani yangu kuna watu watachangamkia fursa na watafanya vyema waliochagua kubeza waendelee. Hongera sana braza angalua haujaonyesha uchoyo wa fursa.
 
Nauza simu pia ila hizi nokia zimeingia fake sana kuna jamaa kaanguka kibiashara vibaya yaani zimemtoa njiani kisa zina matatizo mbalimbali yaani mie nilichukua kwame pic 6 nikaishia kumrudishia zote mbovu.

Kiuhalisia sidhani kama zina quality ya toleo halisi la Nokia maana toleo OG ninalo home kwangu moja yangu nyingine ya bibie.

Haya matoleo kutokea China siyo kabisa
Ushauri tu ...simu usinunue china...tena online ni balaa zaidi ..labda usafiri.
 
Nakumbiaje? Hata ingekuwa March-sagurasagura hakuna simu ya Nokia ya bei hiyo. Hizi zinafyatuliwa na wachina huko uchochoroni. Tuombe Mungu atusaidie zisiwe zimetengenezwa kwa material zenye madhara au zina radio waves za hatari kwani kizazi chetu kitakwisha. Nchi inaingiza kila aina ya ''takataka'' kutoka China. Fedha zimeondoa utu wa wanadamu!
Ukiwa na mzigo wowote ukimpa Silent haukwami bandarini
 
Back
Top Bottom