Anza biashara ya kuagiza simu kutoka China hadi Tanzania kwa mtaji mdogo wa laki tano tu

Anza biashara ya kuagiza simu kutoka China hadi Tanzania kwa mtaji mdogo wa laki tano tu

Ukitaka kipigwa jichanganye hapa
Akili kichwani mwako kaka namm sijaitisha mtu yoyot tozo juu ya huu mchongo nasio kila mtu nitapeli kak nimeamua niwape wana mchongo kama mm nilivyopewa kwenye jarida nililo soma kama hutohitaji achana nao
 
Ushauri tu ...simu usinunue china...tena online ni balaa zaidi ..labda usafiri.
Usiwashauri watu kitu usichokuwa na hushahid nacho. Mm ndy nimeagiza na hukuna chochote kilichotokea mzigo nimepata
IMG20230425135304.jpg
 
Kuna feki imezagaa k.koo na tandika..ndo zipo front....ukienda kichwa kichwa unauziwa bei ya og. 35- 45000\= ukishaondoka tu eneo la duka kinakata network.....naongelea experience nilinunua Kwa ajili ya miamala yaani ni uchafu....msg za malipo hazifiki
Usikariri kaka elewa nin maana ya warranty 12 month maana yake bidhaa inauhakika
 
Habari,

Mimi ni mpenzi Sana wa kusoma majarida mbalimbali online. Sasa siku moja nikukuta jarida likijadiliwa linalo husu kuagiza bidhaa kutoka china hadi dar kupitia Alibaba, Ali express, 1688, Taotao,Yuwin. nk

Nikajiseme nami nikajaribu kwa kufuata hatua hizi nilizo soma kwenye lile jarida.
  1. Lazima uwe na application ya Alibaba Alixpess, 1688,Taotao, au Yuwin.
  2. Nikatengeneza account yangu kwenye application nilioichagua ilikuwa ni Alibaba.
  3. Nikafanya utafiti wa bei maana kuna maduka ya jumla na rejareja. duka lajumla nikama Alibaba na 1688 hayo mengine ni rejareja.
  4. Nilichofanya natizama bidhaa ninayoihitaji kwenye duka langu larejareja ambalo ni Ali express, taotao, na yuwin kisha nasoma comment za watumiaji nikisha jirizisha kwa hii bidhaa nimzuri kwa matumizi narudi sasa kwenye duka langu la bei yajumla kwaajili yakununua sasa.
  5. Hatua nyingine ambayo sikuisoma popote ila niliigundua wakati nafanya utafiti wangu nikwamba supplies walio be verified na Alibaba app nauza bidhaa bei sana kwasabab kampuni zao zimesha sajiliwa. Baada ya kujua hilo nikatafuta supplies ambao hawaja be verified na alibaba wao wanauza bidhaa zao kwa uhakika haraka na bei rahisi zaidi kupata wateja wengi ili kampuni yao iweze kusajiliwa.
  6. Basi nikampata nikaongea nae yupo shapu sana tukakubaliana bei nzuri zaid nayaupendeleo akaniuliza nina agent china wakunisafirishia mzigo wangu hadi dar nikamwambia ninae kasabab nilisha soma kwenye jarida wala haikunipa shida sana, basi nikamtumia address ya agent Wang ambao ni silent ocean. Niliwachagua hao kwasababu niliona watu wanawasifia sana kwenye jarida lile nakiukwel wapo fast Sana.
  7. Basi akanitengenezea link ya payment nikafanya malipo kupitia master card yang ya airtel money nikasubiri kupokea mzigo wangu.
  8. Baada yasiku moja nikapokea ujumbe kuwa mzigo wangu umepokelewa whorehouse za silent ocean China wakanipa track number zakuangalia mzigo wangu baada Siku 21 mizigo ulipofika wakanipigia simu nikaenda kuchua sasa nauza kwa bei rahisi mpaka watu wanahisi hizi simu nizawizi.
  9. Nilinunua nokia pc100 kwashiling laki 9 garama zausafirishaji shilingi laki 2 piah supplies wangu alinitoza pesa za mbao ili kuweza kuprotect simu zangu zisipate damage yoyote. Kiufupi nilitumia kama m1.3 hadi kunifikia
Kwa msaada zaidi Wakuagiza mzigo au kwamahitaji yahizo simu tupigie 0788906890 bei yajumla 21000/= rejareja 25000/=

View attachment 2604754
Iko poa hii...
 
Kwa wanaojua simu zipo Og bei zinacheza hapo kwenye 40000 na mpaka 45000
Mimi ki ukweli mtoa madam namuona ana nia njema lakin hizo simu za china sio.....
Kama unataka ku experience nenda k.koo hata kesho kanunue inafanania hivyo hivyo utatuma mrejeshi.


Tena mwambie nataka ya bei ya chini...mwambia Nina 25000 akikuchekecha mwambie naongeza 5000.
Baada ya wiki utupe mrejesho.
Namna nzuri ya kufanya research kabla ya kununua mzigo mkubwa either china au Kwa mtu ingia kariakoo tafuta hiyo bidhaa ichek...
Maana 90% ya simu pale viswswad ni chinahiyo 10% ndo za ulaya na Pakistan na India....
Fanya research kaka.
Kinunue kimoja
Kaka kila biashara ina code maalum baina ya wateja na wauzaji kwa kariakoo huwez kupata experience yoyot juu ya biashara
 
Back
Top Bottom