To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Mi Dada bhana.....ila nipo mbeya nitatumia njia gani sijui kuupata...au ndo kwa application?Uwamuzi sahih kak
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi Dada bhana.....ila nipo mbeya nitatumia njia gani sijui kuupata...au ndo kwa application?Uwamuzi sahih kak
Nitakucheki mkuuYes kuanza ndy kila kitu jaribu tu atakuagiza pc2 tu alfu utajua ukweli sio lazm uanze naemzigo mkubwa anza nakidogo ili kujifunza zaid
Kama unayoAah wanakuuliza tu kama una tin number kama hauna wanakupa mzigo wako hautozwi hela nyingine zaid niliwauliza kabla sijaagiza wakaniamby hiyo 2k nipamoja nakodi humohumo
Swali zuri sana dada: unaagiz na silent wanaleta mpaka dar alf watakupigia sim kukutaarifu kwamba mzigo wako umeshakifa kweny ghala zao.waambie upo mkoani watautoza pesa ya usafir mpak mbea hao wenyew watakuleteaMi Dada bhana.....ila nipo mbeya nitatumia njia gani sijui kuupata...au ndo kwa application?
Asante sana mkuuSwali zuri sana dada: unaagiz na silent wanaleta mpaka dar alf watakupigia sim kukutaarifu kwamba mzigo wako umeshakifa kweny ghala zao.waambie upo mkoani watautoza pesa ya usafir mpak mbea hao wenyew watakuletea
Kama unayo ndy uhakika zaid utawatumia watakutumia siriti: ila hii ni malip ya mzigo wako kwanjia ya online ila unaweza kwenda ofisi zao kariakoo pale utapata maelezo zaidKama unayo
Itume hapaSina expirence na nguo ila nichek whatpp nikutumie Video yakukufunza jins yakuagiza na kupata supplies mzuri 0788906890
Kama unayo ndy uhakika zaid utawatumia watakutumia siriti: ila hii ni malip ya mzigo wako kwanjia ya online ila unaweza kwenda ofisi zao kariakoo pale utapata maelezo zaid
Pisi demu au pisi kipisiKwaio nkiagiza pisi moja pia inakuja na sailenti oshen??
Bas ni simple kabla haujaagiza hakisha unawasiliana nao kwanzaSio WOTE tupo dar
Ata ukiagiza moja unaletewaPisi demu au pisi kipisi
Jamaa kapigwa kaona aje aokote vichwa uku apunguze machunguKuna wajinga watapatikana
Pc maan yake ni simu ngapi mfano: zikiwa simu kumi tunasema pc10 mkuuPisi demu au pisi kipisi
Hahah kumbee looooh mpotoshaji huyoJamaa kapigwa kaona aje aokote vichwa uku apunguze machungu
Sasa uyu jamaa si apige picha betri alitupie hapa tuone kama aya semayo ni kwelBattery lake halina logo
Ndani kuna stika ya HMD global ila nenda settings kajishuhudie maajabu
Nitaomba sample soonUpo sahih kwa mtazamo wako ila hiz nokia ni og kabisa boss
Tapeli huwaza utapeli tuMatapeli kazini, hizo taka zote kkoo unapata bei hiyohiyo sasa mtu aagize toka kwako kwa lipi?
Muache Ujinga
Mimi naamini hizo battery ziko plain.Sasa uyu jamaa si apige picha betri alitupie hapa tuone kama aya semayo ni kwel