Anza biashara ya kuagiza simu kutoka China hadi Tanzania kwa mtaji mdogo wa laki tano tu

Anza biashara ya kuagiza simu kutoka China hadi Tanzania kwa mtaji mdogo wa laki tano tu

Ingia insta utawakuta
Hiki kichwa kigumu hichi hii nini sasa nimechukua juzi
IMG20230428173843.jpg
 
Chamazi mkuu

Big up man for this informative thread. Kuna madini ya kuokota humu for beginners and other like-minded hustlers.

Kuhusu FABRICATION and/or GENUINENESS... ni suala la mtu binafsi kufanyia follow-up na utafiti before hujarukia kumdiscredit mleta mada. What if ni og kweli, who knows?!! Mtu mmoja huko DarSlum amuibukie mwamba offisini kwake achukue pc moja then tupate uhakika. No research, no right to speak! Who alleges must prove.

Btw, mleta mada fikisha salaam kwa maalim Nash hapo Chamazi Bamia. Mwambie aendelee kuwa 'MHADHIRI' kwa vibe zaidi ili aikomboe mitaa. 😎

-Kaveli-
 
Natafuta yeyote wakuniwezesha 6millioni njoo tuyajenge WhatsAp 0755846814
 
Big up man for this informative thread. Kuna madini ya kuokota humu for beginners and other like-minded hustlers.

Kuhusu FABRICATION and/or GENUINENESS... ni suala la mtu binafsi kufanyia follow-up na utafiti before hujarukia kumdiscredit mleta mada. What if ni og kweli, who knows?!! Mtu mmoja huko DarSlum amuibukie mwamba offisini kwake achukue pc moja then tupate uhakika. No research, no right to speak! Who alleges must prove.

Btw, mleta mada fikisha salaam kwa maalim Nash hapo Chamazi Bamia. Mwambie aendelee kuwa 'MHADHIRI' kwa vibe zaidi ili aikomboe mitaa. [emoji41]

-Kaveli-
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
NATAMANI KUTUMA VOICE NOTE ILI NIMWAMBIE MTOA MADA KUWA WALE WANAOTOA COMMENTS NI AKAUNTI FEKI NYINGI NA ASIJIAMINI KWA HIZO KOMENTS ILA BASI TU
Nimegundua baadhi ya watu wamekerwa sana na hii post kwa maslahi wanayoyajua wao, hivyo wanaleta figisu kuwavunja watu moyo

Unamaanisha hakuna real review huko Na Vipi kuhusu Aliexpress?

niliagiza Xiaomi mi 9t hapo Alibaba bila hata kufuatilia hizo comment fake, na nilipata Simu nzuri natumia kwa miaka miwili sasa

Aliexpress ndo usiseme review ndo inanipaga mzuka wa kutuma hela
 
Uko sahihi kabisa shipping company Nyingi pale Kariakoo Hazina zengwe hata kiberiti kimoja wao wanasfirisha muhimu kumudu malipo yao(nimesurvey zaidi ya shipping company 8)
Hakika kaka huyo alio andika hajielew anakurupuka tu hafuatili mambo ili mradi yeye kakuta mada bc akil yake inamtuma lazima achanganyie ujinga wake tu.muda mwingin ata ukimy nao nijibu kama hufahamu jambo sio lazima ucomment unaweza tulia ukajifunza kwa wanaojua
 
Sina shaka maana unaongea kwa ushahidi, lkn bado mtu anapinga ilimradi nae kacoment

Nikacheka sana mwingine hapo juu kasema zile review ni marobot [emoji28] basi tuseme Alibaba yote sio Real Ipo kimchongo

Sikatai Alibaba Kuna kupigwa, ila ukiwa makini na kufuata utaratibu, unapata deal nzuri

Ile ni online platform upigaji hauwezi kosekana.
Kuna Utofauti wa ubora kati Ya bidhaa Copy na Fake
Pi wengi hawajui, kuna bidhaa zinauzwa Amazon, baadhi wamechukua Toka Alibaba
 
Back
Top Bottom