Steve96
JF-Expert Member
- Aug 11, 2022
- 5,863
- 957
Usikariri kwan China hakuna vitu originalNakumbiaje? Hata ingekuwa March-sagurasagura hakuna simu ya Nokia ya bei hiyo. Hizi zinafyatuliwa na wachina huko uchochoroni. Tuombe Mungu atusaidie zisiwe zimetengenezwa kwa material zenye madhara au zina radio waves za hatari kwani kizazi chetu kitakwisha. Nchi inaingiza kila aina ya ''takataka'' kutoka China. Fedha zimeondoa utu wa wanadamu!
Mbna kama una wivu ....kitu umrona hukielew kaa kimya kujifanya unajua ba hujui
Kwenu vitu vyenu mnavinunua wap
China is for Tanzanians