Comment mbovu zisikuvuruge kabisa, wa Tanzania unatujua tupo nyuma sana. Uwa tunaona mabaya kwenye kila kitu. Nilitegemea nitakutana na maswali positive, km kuomba kujifunza kwa kumuona mshkaji kabisa. Ikiwezekana hata kumuunga mkono na ameweka wazi kabisa warrant anatoa ya mwaka. Km una physical address yake means unamrudishia mzigo anakupa pesa yako. Hata hili nalo linasumbua au kufikirisha? Tutaendelea kuwakatisha tamaa wanaotamani kutupa njia za fursa kwa kujificha kwenye mwamvuli wa utapeli.
Ndio maana Mungu alitupa uwezo pekee kabisa wa kufikiri ambao ni tofauti na wanyama. Ila kuna binadamu wenzetu bado wanafikiri kama wanyama. Imani yangu kuna watu watachangamkia fursa na watafanya vyema waliochagua kubeza waendelee. Hongera sana braza angalua haujaonyesha uchoyo wa fursa.