Toleo OG zipo ila sio 106 hizo washaachana nazo kabisa na hizi ndo nyingi fekiNauza simu pia ila hizi nokia zimeingia fake sana kuna jamaa kaanguka kibiashara vibaya yaani zimemtoa njiani kisa zina matatizo mbalimbali yaani mie nilichukua kwame pic 6 nikaishia kumrudishia zote mbovu.
Kiuhalisia sidhani kama zina quality ya toleo halisi la Nokia maana toleo OG ninalo home kwangu moja yangu nyingine ya bibie.
Haya matoleo kutokea China siyo kabisa
Kwa wanaojua simu zipo Og bei zinacheza hapo kwenye 40000 na mpaka 45000Kumbe ni fekero kudadeq
Hivi hizi og unazipataje...mi nishalizwa navihifaji sana Kwa ajili ya lipa nambaToleo OG zipo ila sio 106 hizo washaachana nazo kabisa na hizi ndo nyingi feki
Battery lake halina logoHahahah ngoja tuone kama hio simu ina Quality ya HMD Global
Mfano OPPO wahusika ni kina GSMAtaipata siku 1
mtoa uzi nakushaur kuwa njia pekee ya kuagiza simu ni ule mtindo wanautumia wafanyabiashara wengi kuchukua mzigo wa simu kwa agent anayetoa ulaya, china na kusupply kama wholesaler
hapa bongo kama sikosei wapo wa5 tu.
ndo registered Big Agents hapa bongo
Rudia kusoma alichoandikaUnapata hasara eti mzigo wa Nokia wa laki moja na Sitini nauri 358000
160,000+358,000= 518,000 Simu moja uku za nokia 40000 hadi 35000 maana ake hakuna kitu unapata labda matumizi binafsi
Mimi niliamua igawa kwa aliyekua ananipa utamu wa bureKuna feki imezagaa k.koo na tandika..ndo zipo front....ukienda kichwa kichwa unauziwa bei ya og. 35- 45000\= ukishaondoka tu eneo la duka kinakata network.....naongelea experience nilinunua Kwa ajili ya miamala yaani ni uchafu....msg za malipo hazifiki
Maduka ya voda, tigo, airtelHivi hizi og unazipataje...mi nishalizwa navihifaji sana Kwa ajili ya lipa namba
Liko vizuri mkuu[emoji23]Kumbe ni tangazo..basi sawa!
[emoji16][emoji16][emoji16]Mtarudi kujifunza mana kiangazi naweza nikapa kama m.3
kwaiyo izo og zinauzwaje.Hata hizi unazosema uliagiza ni fake. Hakuna simu ya Nokia original inayouzwa kwa hiyo bei.
Nimekubali sana regardless ubora lkn kajaribu sanaSema watz ni wajinga Sana
Hawapendi kujifunza vitu vipya binafsi mtoa Mada upo vizuri sana
Kusema siyo original kama alivyosema ndiyo kukataa kujifunza vitu vipya? Yaani wewe unataka tukubali uongo? Kukubali uongo ndiyo kujifunza kitu kipya? Ulisoma shule gani wewe?Sema watz ni wajinga Sana
Hawapendi kujifunza vitu vipya binafsi mtoa Mada upo vizuri sana
[emoji120][emoji120] unaakili sana mkuu utafika mbaliComment mbovu zisikuvuruge kabisa, wa Tanzania unatujua tupo nyuma sana. Uwa tunaona mabaya kwenye kila kitu. Nilitegemea nitakutana na maswali positive, km kuomba kujifunza kwa kumuona mshkaji kabisa. Ikiwezekana hata kumuunga mkono na ameweka wazi kabisa warrant anatoa ya mwaka. Km una physical address yake means unamrudishia mzigo anakupa pesa yako. Hata hili nalo linasumbua au kufikirisha? Tutaendelea kuwakatisha tamaa wanaotamani kutupa njia za fursa kwa kujificha kwenye mwamvuli wa utapeli.
Ndio maana Mungu alitupa uwezo pekee kabisa wa kufikiri ambao ni tofauti na wanyama. Ila kuna binadamu wenzetu bado wanafikiri kama wanyama. Imani yangu kuna watu watachangamkia fursa na watafanya vyema waliochagua kubeza waendelee. Hongera sana braza angalua haujaonyesha uchoyo wa fursa.