Anza siku yako kwa mazoezi na unishukuru baadaye

Anza siku yako kwa mazoezi na unishukuru baadaye

🏃
Screenshot_20240924-195829.png
 
Yes! mbali na kutengeneza body structure nzuri,mazoezi huufanya mwili uwe timamu sana. Mind you siyo lazima kwenda gym.

Hapa naongelea mazoezi ya kawaida tu (simple exercise). Ambayo mtu yeyote anaweza fanya kulingana na mazingira aliyopo.

Fanya hivi: tengeneza ratiba ya kuamka mapema kidogo kabla ya muda wa kawaida wa kwenda kazini (mishemishe).

Piga push ups zako ishirini then toka nje ruka kamba angalau kwa dakika 15.Na hapa lazima jasho likutoke.

Fanya hii iwe desturi yako daily!! Kwenye ratiba ya rope skipping siku zingine waweza aicha!

Mbadala wake kimbia kwenye kinafasi kidogo tu hapo nyumbani ila hakikisha jasho linakutoka. Nakuhakikishia will be healthier than you think.

Ni hayo tu wakuu make sure you start fresh your day with exercise.Mazoezi pia hupunguza stress !

Ni mazoezi simple tu siyo ya kwenda kushindana na akina Noah Lyles,Usain Bolt, Julien Alfred, Sha'carry Richardson ama Daryll Neita huko Olympic.
Mazoezi ya nyumbani hayana mzuka kwanza hamna ata sehemu nzuri ya kupigia picha 🙄
 
Back
Top Bottom