Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na kukwea mnazi pia huwa unakua mvivu?Napenda shida uvivu 😔
Ndio brona kukwea mnazi pia huwa unakua mvivu?
Tafuta company ya zoezi; uvivu utaondoka...!Napenda shida uvivu 😔
amani ni pamoja na fair play, win win situation ambayo wenzetu ccm hawataki so hatuna amani
NIwe mwalim wako.Napenda shida uvivu 😔
Kaza biggie, kaza.Napenda shida uvivu 😔
Vizuri ila kwa nini ni mpaka jasho likutoke?Yes! mbali na kutengeneza body structure nzuri,mazoezi huufanya mwili uwe timamu sana. Mind you siyo lazima kwenda gym.
Hapa naongelea mazoezi ya kawaida tu (simple exercise). Ambayo mtu yeyote anaweza fanya kulingana na mazingira aliyopo.
Fanya hivi: tengeneza ratiba ya kuamka mapema kidogo kabla ya muda wa kawaida wa kwenda kazini (mishemishe).
Piga push ups zako ishirini then toka nje ruka kamba angalau kwa dakika 15.Na hapa lazima jasho likutoke.
Fanya hii iwe desturi yako daily!! Kwenye ratiba ya rope skipping siku zingine waweza aicha!
Mbadala wake kimbia kwenye kinafasi kidogo tu hapo nyumbani ila hakikisha jasho linakutoka. Nakuhakikishia will be healthier than you think.
Ni hayo tu wakuu make sure you start fresh your day with exercise.Mazoezi pia hupunguza stress !
Ni mazoezi simple tu siyo ya kwenda kushindana na akina Noah Lyles,Usain Bolt, Julien Alfred, Sha'carry Richardson ama Daryll Neita huko Olympic.
WordYes! mbali na kutengeneza body structure nzuri,mazoezi huufanya mwili uwe timamu sana. Mind you siyo lazima kwenda gym.
Hapa naongelea mazoezi ya kawaida tu (simple exercise). Ambayo mtu yeyote anaweza fanya kulingana na mazingira aliyopo.
Fanya hivi: tengeneza ratiba ya kuamka mapema kidogo kabla ya muda wa kawaida wa kwenda kazini (mishemishe).
Piga push ups zako ishirini then toka nje ruka kamba angalau kwa dakika 15.Na hapa lazima jasho likutoke.
Fanya hii iwe desturi yako daily!! Kwenye ratiba ya rope skipping siku zingine waweza aicha!
Mbadala wake kimbia kwenye kinafasi kidogo tu hapo nyumbani ila hakikisha jasho linakutoka. Nakuhakikishia will be healthier than you think.
Ni hayo tu wakuu make sure you start fresh your day with exercise.Mazoezi pia hupunguza stress !
Ni mazoezi simple tu siyo ya kwenda kushindana na akina Noah Lyles,Usain Bolt, Julien Alfred, Sha'carry Richardson ama Daryll Neita huko Olympic.
Mimi naanza kwa push ups
NA mazoezi ya kuimarisha pelvic floor
Mimi pushup 50 Kila siku zinatosha yaani mwili unakua mwepesi
Mkupuomkuu hizo 50 kw amkupuo? au mafungu mafungu?
Ni sehemu ya huko chini.pelvic floor ndio nini mkuu?
Mkupuo
Imagine unatoka kwako unavaa bukta,viatu na t shirt unaanza kukimbia barabarani bila sababu! Wafanya mazoezi tupewe maua yetu.Mazoezi nu utumwa. Sio kitu cha mchazo ni rahisi kukijadili tu ila sio kufanya
Unaweza kufika ukiamua.Mazoezi ni utumwa. Sio kitu cha mchezo ni rahisi kukijadili tu ila sio kufanya
Kuna zoezi pia linaitwa plank nilikuwa pia nalikatia tamaa sana ila baada ya kuja kumaster taratibu nikaliona kawaida .Unaweza kufika ukiamua.
Mimi kuna kipindi hata 10 push ups nilikuwa mpaka nipambane
Nikaenda mpka 20.
Kwenye 20 nimekaa almost 2years
Then nikaenda 30, na 40.
nilipokuwa kwenye 40, 50 nilikuwa sifikirii kabisa.
Ila baadae nikaamua kuongeza 10.
Now napiga 50.