Anzeni kuweka utaratibu wa Chai kwenye Jumuiya Tuanze kuhudhuria

Qs Cathbert

Member
Joined
Mar 20, 2023
Posts
57
Reaction score
100
Kila siku nasema ikifika jumamosi lazima niende jumuiya, lakini ikifika jumamosi yenyew nachimba,, Sasa nimefikiria atleast wakiweka utaratibu wa chai nitakua muudhuriaji mzuri sana tena asubuhi na mapema ntakuwa na wahi!
 
Kwangu huwa nawaandalia chai ya rangi, ya maziwa, kahawa, maandazi na mihogo. Inakua poa kabisa! Sema mwenyewe huwa sipati muda wa kushiriki......
 
Kila siku nasema ikifika jumamosi lazima niende jumuiya, lakini ikifika jumamosi yenyew nachimba,, Sasa nimefikiria atleast wakiweka utaratibu wa chai nitakua muudhuriaji mzuri sana tena asubuhi na mapema ntakuwa na wahi!
Kuna jumuiya Chai ipo na maandazi baada ya jumuiya kuisha mnakunywa Chai chapati maandazi kisha mnarudi kwenu ila tu usiwe mgumu wa kuchangia Chai hio kwa Jumamosi nyingine
 
Kila siku nasema ikifika jumamosi lazima niende jumuiya, lakini ikifika jumamosi yenyew nachimba,, Sasa nimefikiria atleast wakiweka utaratibu wa chai nitakua muudhuriaji mzuri sana tena asubuhi na mapema ntakuwa na wahi!
uwekewe chai wakati tukio lenyewe ni la muda mfupi tu. Unataka kuleta gharama za bure kuanzisha unywaji chai kwenye jumuiya
 
Kila siku nasema ikifika jumamosi lazima niende jumuiya, lakini ikifika jumamosi yenyew nachimba,, Sasa nimefikiria atleast wakiweka utaratibu wa chai nitakua muudhuriaji mzuri sana tena asubuhi na mapema ntakuwa na wahi!
Ndo huwa tunawaambia wote wanaoenda maulidini, kwenye Dua zinazoitwa tatu, arobaini, wengi wanafata ubwabwa, Rafiki kwenye Ibada Sahihi kama swala Tano mtu mwenyewe anaenda hakuna chai Wala uji, hizi ibada unazoziona Kuna chakula humo ningi ni Uzushi kama hiyo ya jumuia na nilizozitaja.
 
Kila siku nasema ikifika jumamosi lazima niende jumuiya, lakini ikifika jumamosi yenyew nachimba,, Sasa nimefikiria atleast wakiweka utaratibu wa chai nitakua muudhuriaji mzuri sana tena asubuhi na mapema ntakuwa na wahi!
Kwahio utakuwa unaenda kwa ajili ya chai, sio kijifunza neno la Mungu!?
 
Kwa sadaka yako ya buku tukuwekee chai kwa jumuia? Feken kabisa wewe
Kwa watu wenye matusi kama wewe ili muende kwa jumuiya sio chai tu,, Wapike Pilau na kachumbali kabisa ndo mtaenda
Sio kwa matusi hayo🥴
 
Kila siku nasema ikifika jumamosi lazima niende jumuiya, lakini ikifika jumamosi yenyew nachimba,, Sasa nimefikiria atleast wakiweka utaratibu wa chai nitakua muudhuriaji mzuri sana tena asubuhi na mapema ntakuwa na wahi!
Wachaga huwa hawanywi chai asubuhi wanazimua na pombe nao wawekewe pombe au?
 
Kwa watu wenye matusi kama wewe ili muende kwa jumuiya sio chai tu,, Wapike Pilau na kachumbali kabisa ndo mtaenda
Sio kwa matusi hayo🥴
Bila kusahau pilipili kijana, we unataka tukupike chai ndio uje jumuia kanisani si utataka tukufanyie delivery ya Suti na ukae siti ya mbele.

Baada ya ibada pilau.
 
Back
Top Bottom