Anzeni kuweka utaratibu wa Chai kwenye Jumuiya Tuanze kuhudhuria

Anzeni kuweka utaratibu wa Chai kwenye Jumuiya Tuanze kuhudhuria

Kila siku nasema ikifika jumamosi lazima niende jumuiya, lakini ikifika jumamosi yenyew nachimba,, Sasa nimefikiria atleast wakiweka utaratibu wa chai nitakua muudhuriaji mzuri sana tena asubuhi na mapema ntakuwa na wahi!
Kwa wasiokunywa chai wapatiwe mvinyo na divai
 
Back
Top Bottom