Anzeni kuweka utaratibu wa Chai kwenye Jumuiya Tuanze kuhudhuria

Jumuiya yetu tunakunywa sana chai

Ila changamoto huwa inakuja wakiwa wamekuja ghetto kwangu huwa wanakuta korosho tu ndo wanaanza maneno yao fanya uoe mtumish wifi awe anatupitia

Ila chai kama chai tu tunakunywa sana kwa baadhi ya familia
 
Kila siku nasema ikifika jumamosi lazima niende jumuiya, lakini ikifika jumamosi yenyew nachimba,, Sasa nimefikiria atleast wakiweka utaratibu wa chai nitakua muudhuriaji mzuri sana tena asubuhi na mapema ntakuwa na wahi!
Anza wewe kwa kuleta chupa sita za chai na half keki kumi na tano.
Sala na jumuiya hiyo nami nitakuja.
 
Unanikumbusha enzi zangu utotoni, nyumba ambazo najua hakuna vitafunwa lazima nitafute sababu nisiende, zenye uhakika chai mapema sana nawahi na kusali rozali 😃
 
Unanikumbusha enzi zangu utotoni, nyumba ambazo najua hakuna vitafunwa lazima nitafute sababu nisiende, zenye uhakika chai mapema sana nawahi na kusali rozali [emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndo huwa tunawaambia wote wanaoenda maulidini, kwenye Dua zinazoitwa tatu, arobaini, wengi wanafata ubwabwa, Rafiki kwenye Ibada Sahihi kama swala Tano mtu mwenyewe anaenda hakuna chai Wala uji, hizi ibada unazoziona Kuna chakula humo ningi ni Uzushi kama hiyo ya jumuia na nilizozitaja.
waachana na utaratibu wa kula misibani, warudia utamaduni wa zamani hakuna kula msibani, ukirudi kuzika ni kula ugali kwa maharage/mlenda tu. Hakuna wali, wali utaliwa kwenye tatu tu au arobaini. Vyakula vya kifahari kutopikwa misibani, mwendo ni uji tu, kama hutaki kunywa utaonekana unataka kula kifahari msibani unaringa na wewe ukipata msiba utaringiwa uji wako kunywewa. Wasema kulisha waombolezaji vyakula vya kifahari ni anasa na gharama kubwa. Waombolezaji wasusa kula ugalii dona kwa maharage na mlenda wataka kula wali
 
Kila siku nasema ikifika jumamosi lazima niende jumuiya, lakini ikifika jumamosi yenyew nachimba,, Sasa nimefikiria atleast wakiweka utaratibu wa chai nitakua muudhuriaji mzuri sana tena asubuhi na mapema ntakuwa na wahi!
John 6:35 Jesus said, "am the bread 🍞 of life"
Ukipata neno la Mungu ambalo ni mkate wa uzima wa milele linatosha, achana na machai mkuu
 
waachana na utaratibu wa kula misibani, warudia utamaduni wa zamani hakuna kula msibani, ukirudi kuzika ni kula ugali kwa maharage/mlenda tu. Hakuna wali, wali utaliwa kwenye tatu tu au arobaini. Vyakula vya kifahari kutopikwa misibani, mwendo ni uji tu, kama hutaki kunywa utaonekana unataka kula kifahari msibani unaringa na wewe ukipata msiba utaringiwa uji wako kunywewa. Wasema kulisha waombolezaji vyakula vya kifahari ni anasa na gharama kubwa. Waombolezaji wasusa kula ugalii dona kwa maharage na mlenda wataka kula wali
Mkuu ulivyosema ni sawa ila mfano, imetajwa jumuiya jambo ambalo ni la kidini, mfano ktk uislamu inavyotakiwa mtu amefiwa munaenda kuzika na hayo mazishi ni Ibada, baada ya kumsaidia mfiwa nyinyi mnataka kula hiyo haifai, misiba ya Sasa imekuwa sio Ibada Tena Bali jambo la jamii ndo maana mambo mengi yameingizwa, amekufa mtu, kodisha viti, kodisha turubai, kodisha sahani, kodisha wapishi, kodisha muziki na mc wake, kodisha gar ilete turubai kodisha gar maiti apelekwe mkoani. Na Mambo mengi, yote hayo ni pesa inakuwa msiba juu ya msiba, mtu amekufa aandaliwe, kuoshwa, kuvikwa sanda, kusaliwa،
Kisha azikwe hakuna mambo mengi, ulipotoa nauli ya kuijia msibani na pesa ya msosi utakuwa nayo, watu wanazika Kila mtu aende zake ni hivyo na inawezekana na inafanyika, wanaopata tabu ni wale wasioshika dini vizur au watu wa maslahi hakuna kingine.
 
je utamaduni wa kula misibani uendelee?
 
Ni utaratibu mbovu sana wa kuweka chakula kwenye jumuiya. Inaleta ubaguzi kwa wale wa hali ya chini
 
Back
Top Bottom