Qs Cathbert
Member
- Mar 20, 2023
- 57
- 100
Kwangu huwa nawaandalia chai ya rangi, ya maziwa, kahawa, maandazi na mihogo. Inakua poa kabisa! Sema mwenyewe huwa sipati muda wa kushiriki......Kila siku nasema ikifika jumamosi lazima niende jumuiya, lakini ikifika jumamosi yenyew nachimba,, Sasa nimefikiria atleast wakiweka utaratibu wa chai nitakua muudhuriaji mzuri sana tena asubuhi na mapema ntakuwa na wahi!
Kuna jumuiya Chai ipo na maandazi baada ya jumuiya kuisha mnakunywa Chai chapati maandazi kisha mnarudi kwenu ila tu usiwe mgumu wa kuchangia Chai hio kwa Jumamosi nyingineKila siku nasema ikifika jumamosi lazima niende jumuiya, lakini ikifika jumamosi yenyew nachimba,, Sasa nimefikiria atleast wakiweka utaratibu wa chai nitakua muudhuriaji mzuri sana tena asubuhi na mapema ntakuwa na wahi!
uwekewe chai wakati tukio lenyewe ni la muda mfupi tu. Unataka kuleta gharama za bure kuanzisha unywaji chai kwenye jumuiyaKila siku nasema ikifika jumamosi lazima niende jumuiya, lakini ikifika jumamosi yenyew nachimba,, Sasa nimefikiria atleast wakiweka utaratibu wa chai nitakua muudhuriaji mzuri sana tena asubuhi na mapema ntakuwa na wahi!
Ndo huwa tunawaambia wote wanaoenda maulidini, kwenye Dua zinazoitwa tatu, arobaini, wengi wanafata ubwabwa, Rafiki kwenye Ibada Sahihi kama swala Tano mtu mwenyewe anaenda hakuna chai Wala uji, hizi ibada unazoziona Kuna chakula humo ningi ni Uzushi kama hiyo ya jumuia na nilizozitaja.Kila siku nasema ikifika jumamosi lazima niende jumuiya, lakini ikifika jumamosi yenyew nachimba,, Sasa nimefikiria atleast wakiweka utaratibu wa chai nitakua muudhuriaji mzuri sana tena asubuhi na mapema ntakuwa na wahi!
Ungeandaa kwanza wewe uwakaribishe nyumbani kwako kisha kwenye Speech yako utoe hayo maon
Karibuni sana tena kwangu mtakunywa kwanza chai alaf ndo ibadaUngeandaa kwanza wewe uwakaribishe nyumbani kwako kisha kwenye Speech yako utoe hayo maoni.
Kama hatutapata chai basi tupate kama hio kwenye picha yako hapo profile🤝uwekewe chai wakati tukio lenyewe ni la muda mfupi tu. Unataka kuleta gharama za bure kuanzisha unywaji chai kwenye jumuiya
Kwahio utakuwa unaenda kwa ajili ya chai, sio kijifunza neno la Mungu!?Kila siku nasema ikifika jumamosi lazima niende jumuiya, lakini ikifika jumamosi yenyew nachimba,, Sasa nimefikiria atleast wakiweka utaratibu wa chai nitakua muudhuriaji mzuri sana tena asubuhi na mapema ntakuwa na wahi!
Baada ya mafundisho yesu alilisha watu elfu tano kwa samaki wawili na mikate mitanoKwahio utakuwa unaenda kwa ajili ya chai, sio kijifunza neno la Mungu!?
Yesu alisha paa zake mbiguni,akileta mikate hapa utazua taharuki kijanaBaada ya mafundisho yesu alilisha watu elfu tano kwa samaki wawili na mikate mitano
Kwa watu wenye matusi kama wewe ili muende kwa jumuiya sio chai tu,, Wapike Pilau na kachumbali kabisa ndo mtaendaKwa sadaka yako ya buku tukuwekee chai kwa jumuia? Feken kabisa wewe
Wachaga huwa hawanywi chai asubuhi wanazimua na pombe nao wawekewe pombe au?Kila siku nasema ikifika jumamosi lazima niende jumuiya, lakini ikifika jumamosi yenyew nachimba,, Sasa nimefikiria atleast wakiweka utaratibu wa chai nitakua muudhuriaji mzuri sana tena asubuhi na mapema ntakuwa na wahi!
Bila kusahau pilipili kijana, we unataka tukupike chai ndio uje jumuia kanisani si utataka tukufanyie delivery ya Suti na ukae siti ya mbele.Kwa watu wenye matusi kama wewe ili muende kwa jumuiya sio chai tu,, Wapike Pilau na kachumbali kabisa ndo mtaenda
Sio kwa matusi hayo🥴
Hongera mtumishi,iwe namna ya kuwakarimu wageni nyumbani maana ni mara chache sana kwa mwaka zamu huangukia nyumbani mwetu.Jumuia ya mtakatifu VERONICA ya parokia ya MWENYEHERI ANUARITE tunakunywa chai nzito kila siku husika
Jumuia ya mtakatifu VERONICA ya parokia ya MWENYEHERI ANUARITE tunakunywa chai nzito kila siku husika