Anzeni kuwekeza kwenye Crypto

Anzeni kuwekeza kwenye Crypto

Ser

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2023
Posts
1,273
Reaction score
1,070
Wakuu Kuna Haja Ya Kuanza Kuwekeza Kwenye Crypto Kama Bado Huja Anza.

Dogecoin Mwezi Uliopita Yaani Tarehe 31/10 Ilikuwa Inauzwa Dollars 0.168146 Sawa na kama TZS 200 Kwa Exchange Rate Ya Tarehe 31/10/2024.

Screenshot_20241112-115533_2.jpg

Wakati leo hii Dogecoin Imepanda Thamani na Kufikia 1100 mpaka sasa hivi na inaendelea kupanda. Jana mchana saa 9 jioni ilikuwa ina thamani ya 679 Ila leo imeamka Na TZS 1100.

Screenshot_20241112-114703_1.jpg

Mpaka Kufika Jioni Itaweza Kupanda Zaidi.

Fikiria kama ungenunua dogecoin za thamani Ya 100000 Tarehe 31/10 leo ungepata dogecoin 500 kwa bei ya 200. Sasa chukua dogecoin thamani ya dogecoin ya leo ya 1100 zidisha mara dogecoin zako 500 utapata 550000. Ungekuwa umetengeneza faida ya TZS 400000 kufikia leo hii.

Bitcoin ilikuwa Ina Thamani Ya milioni 170TZS mwezi uliopita leo Hii Ina Thamani Ya million 236,012,506.25 TZS. Piga Hesabu Ya Faida Aliyopata Mtu Aliyenunua Mwezi Uliopita.

Screenshot_20241112-121225_1.jpg

Tuachane Na Bitcoin Kwa Sababu Wachache Wanaweza Kununua. Sisi tuanze kununua Dogecoin Au Anza kununua Currency Za Bei Ya Chini Zaidi.

Naona Utajiri Mkubwa Kwenye Sarafu Ya Mtandaoni Kwa Wale Watakaochukua Hatua Sasa Hivi.

Elon Musk And Trump Effects.
 
Wakuu Kuna Haja Ya Kuanza Kuwekeza Kwenye Crypto Kama Bado Huja Anza.

Dogecoin Mwezi Uliopita Yaani Tarehe 31/10 Ilikuwa Inauzwa Dollars 0.168146 Sawa na kama TZS 200 Kwa Exchange Rate Ya Tarehe 31/10/2024.

View attachment 3150202

Wakati leo hii Dogecoin Imepanda Thamani na Kufikia 1100 mpaka sasa hivi na inaendelea kupanda. Jana mchana saa 9 jioni ilikuwa ina thamani ya 679 Ila leo imeamka Na TZS 1100.

View attachment 3150199

View attachment 3150198

Hio hela nainunuaje mkuu,nielekeze tafadhali
 
Hizi bitcoin sijui dodge coin ukitaka fedha kamili za madafu unazipataje? Tatizo tunaogopa hii mifumo ya mitandao ni rahisi kupigwa na ofisi ya kwenda kulalamikia hamna😀
 
Ukiwa unawekeza unatakiwa uzingatie sana sana 'real use case.'

Mali unayoiwekeza ina manufaa gani kwa watu? Nyumba ni makazi, hisa ni mitaji kwa kampuni nk...

Sasa cryptocurrencies zinasaidia nini?

Hii ni very risky, tegemea kulizwa.
Mkuu crypto imeanza mwaka 2008 huko, na tangu hapo imeendelea kupanda kampuni nyingi zimefunguliwa. Elon Musk amesema sasa hivi transaction nyingi kwa Marekani zinatakiwa kufanywa through crypto. Risk ipo tu mkuu. Kwani huku mtaani hakuna risk? Unaweza kuibiwa, Biashara Kuteketea kwa moto nk. Elewa kuwa mwekezaji yeyote yule ni risk takers. Kama siyo risk taker achana Na kuwekeza. Kaajiriwe huko
 
Wakuu Kuna Haja Ya Kuanza Kuwekeza Kwenye Crypto Kama Bado Huja Anza.

Dogecoin Mwezi Uliopita Yaani Tarehe 31/10 Ilikuwa Inauzwa Dollars 0.168146 Sawa na kama TZS 200 Kwa Exchange Rate Ya Tarehe 31/10/2024.

View attachment 3150202

Wakati leo hii Dogecoin Imepanda Thamani na Kufikia 1100 mpaka sasa hivi na inaendelea kupanda. Jana mchana saa 9 jioni ilikuwa ina thamani ya 679 Ila leo imeamka Na TZS 1100.

View attachment 3150199

Mpaka Kufika Jioni Itaweza Kupanda Zaidi.

Fikiria kama ungenunua dogecoin za thamani Ya 100000 Tarehe 31/10 leo ungepata dogecoin 500 kwa bei ya 200. Sasa chukua dogecoin thamani ya dogecoin ya leo ya 1100 zidisha mara dogecoin zako 500 utapata 550000. Ungekuwa umetengeneza faida ya TZS 400000 kufikia leo hii.

Bitcoin ilikuwa Ina Thamani Ya milioni 170TZS mwezi uliopita leo Hii Ina Thamani Ya million 236,012,506.25 TZS. Piga Hesabu Ya Faida Aliyopata Mtu Aliyenunua Mwezi Uliopita.

View attachment 3150198

Tuachane Na Bitcoin Kwa Sababu Wachache Wanaweza Kununua. Sisi tuanze kununua Dogecoin Au Anza kununua Currency Za Bei Ya Chini Zaidi.

Naona Utajiri Mkubwa Kwenye Sarafu Ya Mtandaoni Kwa Wale Watakaochukua Hatua Sasa Hivi.

Elon Musk And Trump Effects.
Kwahiyo mkuu unavuna hela toka kwenye ule uzi wetu uleeeee,unakuja kuziwekeza humu😄
 
Mkuu crypto imeanza mwaka 2008 huko, na tangu hapo imeendelea kupanda kampuni nyingi zimefunguliwa. Elon Musk amesema sasa hivi transaction nyingi kwa Marekani zinatakiwa kufanywa through crypto. Risk ipo tu mkuu. Kwani huku mtaani hakuna risk? Unaweza kuibiwa, Biashara Kuteketea kwa moto nk. Elewa kuwa mwekezaji yeyote yule ni risk takers. Kama siyo risk taker achana Na kuwekeza. Kaajiriwe huko
Basi at least calculate your risks.

Weka kiasi ambacho upo tayari kupoteza.
 
Hio hela nainunuaje mkuu,nielekeze tafadhali
Fungua Akaunti yako ya wallet kwenye binance link iyo hapohttps://accounts.binance.info/register?ref=35828661 fuata iyo link then utaweka hii referral code 35828661 then ukishafungua uta download binance app kutoka playstore then humo ndani ya binance Kuna mawakala wa kuuza na kununua kwa njia za mobile money kama tigopesa,mpesa airtel money,bank transfer nk,,ukiwa huelewi njoo dm.
 
Back
Top Bottom