Cryptos zina risks sana hasa kwa mtu anayeanza.
Kuna watu wamewahi kushawishiwa na kuingia na wakaishia kupata hasara.
Hii doge coin ni kwa sababu maalum na si cryptos zote zipo na bull ambapo kuna zaidi ya cryptos 2,000 ambazo zipo hai.
Mimi ni mmoja wa wawekezaji wa hizi cryptos. Niliingia kwa USD 150, lakini zilikuja kuliwa na kubaki na USD 42 kwa sasa ndo zinapanda baada ya kuvuna vya kutosha kutoka HMSTR na sasa Doge naivuna kwa sasa lakini naomba kusema kiwa usiamini kwa 100% kuwa utapata.
Jambo kubwa ni DYOR