Anzeni kuwekeza kwenye Crypto

Anzeni kuwekeza kwenye Crypto

Cryptos zina risks sana hasa kwa mtu anayeanza.
Kuna watu wamewahi kushawishiwa na kuingia na wakaishia kupata hasara.
Hii doge coin ni kwa sababu maalum na si cryptos zote zipo na bull ambapo kuna zaidi ya cryptos 2,000 ambazo zipo hai.
Mimi ni mmoja wa wawekezaji wa hizi cryptos. Niliingia kwa USD 150, lakini zilikuja kuliwa na kubaki na USD 42 kwa sasa ndo zinapanda baada ya kuvuna vya kutosha kutoka HMSTR na sasa Doge naivuna kwa sasa lakini naomba kusema kiwa usiamini kwa 100% kuwa utapata.
Jambo kubwa ni DYOR
 
Hongera mkuu. Wekeza kwa malengo ya muda mrefu
 
Mimi nimewekeza kama 250USD (ni hela ndogo sana kwenye crypto).

Sasa hvi niko juu ya capital( japokuwa coins ambazo nimewekeza sana bado hazianza kunipa faida).

Nasubiri 2025 nivune.
 
  • Thanks
Reactions: Ser
Mimi nimewekeza kama 250USD (ni hela ndogo sana kwenye crypto).

Sasa hvi niko juu ya capital( japokuwa coins ambazo nimewekeza sana bado hazianza kunipa faida).

Nasubiri 2025 nivune.
Hongera sana mkuu
 
haya maisha bwana, mwaka 2010 ningenunua bitcon za 1000k tsh leo ningekuwa na uwezo wa kununua mtaa mzima sinza.

2015 kuna mwamba alinunua bt 4, leo akiuza anatengeneza m800+ et, ngoja nimcheck kama bado anazo maana target yake ilikuwa ni mpaka ifike 200k usd ndo atauza,

wallah nitamshawishi auze anikopeshe hata m100 nifanye jambo langu chap hapa.
 
  • Thanks
Reactions: Ser
Chimbeni Pi Narudia tena fanyeni Mining ya Pi coin ndo mbadala wa Bitcoin project inayoenda kusheki Dunia ina kila kitu na sifa zote. Nenden google ulizen Pi Network ni nini mtapata habari yote kamili km unahtji zaid link hii username tumia Ngwengwe2014
 
  • Thanks
Reactions: Ser
haya maisha bwana, mwaka 2010 ningenunua bitcon za 1000k tsh leo ningekuwa na uwezo wa kununua mtaa mzima sinza.

2015 kuna mwamba alinunua bt 4, leo akiuza anatengeneza m800+ et, ngoja nimcheck kama bado anazo maana target yake ilikuwa ni mpaka ifike 200k usd ndo atauza,

wallah nitamshawishi auze anikopeshe hata m100 nifanye jambo langu chap hapa.
Kama hakuuza sasa hivi atakuwa na hela nyingi sana mkuu
 
Kabisa mkuu. Halafu hiyo hela unaipata pasipo wewe kufanya kazi yoyote ile.
Wazee wadownload pesa mnalugha nyepesi sana..
Kwahiyo mwezetu una'mabilioni mangapi sasa huko?
 
Wazee wadownload pesa mnalugha nyepesi sana..
Kwahiyo mwezetu una'mabilioni mangapi sasa huko?
Mkuu nani kasema hela una download? Siyo kila lazima u complicate mkuu. Ina maana wewe somo la kuhusu hisa hulijui? Kama hulijui jifunze kwanza kuhusu HISA inavyo fanya kazi
 
Kwenye kulizwa hapo uongo
Mkuu utalizwa na nani? Hizo kampuni ziko verified na serikali ambako makao makuu ya hizo kampuni yapo. Na hata ukiingia online utaweza kuona Hizo kampuni zipo Chini ya Serikali. Utaingia hasara ikiwa HISA zitashuka thamani.
 
Mkuu nani kasema hela una download? Siyo kila lazima u complicate mkuu. Ina maana wewe somo la kuhusu hisa hulijui? Kama hulijui jifunze kwanza kuhusu HISA inavyo fanya kazi
Sawa
 
Fungua Akaunti yako ya wallet kwenye binance link iyo hapohttps://accounts.binance.info/register?ref=35828661 fuata iyo link then utaweka hii referral code 35828661 then ukishafungua uta download binance app kutoka playstore then humo ndani ya binance Kuna mawakala wa kuuza na kununua kwa njia za mobile money kama tigopesa,mpesa airtel money,bank transfer nk,,ukiwa huelewi njoo dm.
Sawa mkuu
 
Elewa kuwa mwekezaji yeyote yule ni risk takers. Kama siyo risk taker achana Na kuwekeza. Kaajiriwe huko
Calculated risk taker siyo risk taker, hiyo ndiyo moja ya sifa ya mjasiriamali/mwekezaji.
 
Calculated risk taker siyo risk taker, hiyo ndiyo moja ya sifa ya mjasiriamali/mwekezaji.
Sometimes there is no such thing as a calculated risk taker. When you take calculated risks it means you are being doubtful on your plans whether they are going to work or not.
 
Sometimes there is no such thing as a calculated risk taker. When you take calculated risks it means you are being doubtful on your plans whether they are going to work or not.
According to you.
 
Unapatikana wapi?

Kipindi kile hizi mambo za Crypto zinaingia duniani huku kwenu hatukuwa na uelewa nazo kabisa kwahiyo ilikuwa ni ngumu sana kuchukua maamuzi. Angalau kwa sasa watu wana ufahamu nazo, ni masuala ambayo yapo na ni kweli kabisa. Binafsi bado sina uelewa wa hayo mambo ila nafahamu tu kuna kitu inaitwa crypto watu wanafanya miamala huko.

Nimekuuliza hapo juu unapo patikana nia yangu nataka nikufuate ulipo kisha tufungue akaunti baada ya hapo ninunue hizo coin ni hold kwa muda kadhaa, sijui chochote kile kuhusu hayo mambo kwahiyo sijui naanzia wapi mpaka kununua hizo coin.

Naamini hizi mambo za Crypto zitapanda thamani sana hasa kipindi hichi Trump anaingia madarakani maana yeye mwenyewe ni mfuasi wa hayo masuala, jana kuna video nimeona akilipia burger kwa kutumia Crypto ndio maana kwa sasa zina panda kw kasi sana.
 
Back
Top Bottom