Hongera mkuu. Wekeza kwa malengo ya muda mrefuCryptos zina risks sana hasa kwa mtu anayeanza.
Kuna watu wamewahi kushawishiwa na kuingia na wakaishia kupata hasara.
Hii doge coin ni kwa sababu maalum na si cryptos zote zipo na bull ambapo kuna zaidi ya cryptos 2,000 ambazo zipo hai.
Mimi ni mmoja wa wawekezaji wa hizi cryptos. Niliingia kwa USD 150, lakini zilikuja kuliwa na kubaki na USD 42 kwa sasa ndo zinapanda baada ya kuvuna vya kutosha kutoka HMSTR na sasa Doge naivuna kwa sasa lakini naomba kusema kiwa usiamini kwa 100% kuwa utapata.
Jambo kubwa ni DYOR
Hongera sana mkuuMimi nimewekeza kama 250USD (ni hela ndogo sana kwenye crypto).
Sasa hvi niko juu ya capital( japokuwa coins ambazo nimewekeza sana bado hazianza kunipa faida).
Nasubiri 2025 nivune.
Kama hakuuza sasa hivi atakuwa na hela nyingi sana mkuuhaya maisha bwana, mwaka 2010 ningenunua bitcon za 1000k tsh leo ningekuwa na uwezo wa kununua mtaa mzima sinza.
2015 kuna mwamba alinunua bt 4, leo akiuza anatengeneza m800+ et, ngoja nimcheck kama bado anazo maana target yake ilikuwa ni mpaka ifike 200k usd ndo atauza,
wallah nitamshawishi auze anikopeshe hata m100 nifanye jambo langu chap hapa.
Wazee wadownload pesa mnalugha nyepesi sana..Kabisa mkuu. Halafu hiyo hela unaipata pasipo wewe kufanya kazi yoyote ile.
Kwenye kulizwa hapo uongoUkiwa unawekeza unatakiwa uzingatie sana sana 'real use case.'
Mali unayoiwekeza ina manufaa gani kwa watu? Nyumba ni makazi, hisa ni mitaji kwa kampuni nk...
Sasa cryptocurrencies zinasaidia nini?
Hii ni very risky, tegemea kulizwa.
Mkuu nani kasema hela una download? Siyo kila lazima u complicate mkuu. Ina maana wewe somo la kuhusu hisa hulijui? Kama hulijui jifunze kwanza kuhusu HISA inavyo fanya kaziWazee wadownload pesa mnalugha nyepesi sana..
Kwahiyo mwezetu una'mabilioni mangapi sasa huko?
Mkuu utalizwa na nani? Hizo kampuni ziko verified na serikali ambako makao makuu ya hizo kampuni yapo. Na hata ukiingia online utaweza kuona Hizo kampuni zipo Chini ya Serikali. Utaingia hasara ikiwa HISA zitashuka thamani.Kwenye kulizwa hapo uongo
SawaMkuu nani kasema hela una download? Siyo kila lazima u complicate mkuu. Ina maana wewe somo la kuhusu hisa hulijui? Kama hulijui jifunze kwanza kuhusu HISA inavyo fanya kazi
Sawa mkuuFungua Akaunti yako ya wallet kwenye binance link iyo hapohttps://accounts.binance.info/register?ref=35828661 fuata iyo link then utaweka hii referral code 35828661 then ukishafungua uta download binance app kutoka playstore then humo ndani ya binance Kuna mawakala wa kuuza na kununua kwa njia za mobile money kama tigopesa,mpesa airtel money,bank transfer nk,,ukiwa huelewi njoo dm.
Calculated risk taker siyo risk taker, hiyo ndiyo moja ya sifa ya mjasiriamali/mwekezaji.Elewa kuwa mwekezaji yeyote yule ni risk takers. Kama siyo risk taker achana Na kuwekeza. Kaajiriwe huko
Sometimes there is no such thing as a calculated risk taker. When you take calculated risks it means you are being doubtful on your plans whether they are going to work or not.Calculated risk taker siyo risk taker, hiyo ndiyo moja ya sifa ya mjasiriamali/mwekezaji.
According to you.Sometimes there is no such thing as a calculated risk taker. When you take calculated risks it means you are being doubtful on your plans whether they are going to work or not.
Kabisa mkuu.Mazee kama mpaka 2030 huja hold coin. Utajiulaumuš„±