Anzeni kuwekeza kwenye Crypto

So Elimu yako unapata wapi ukitoa You tube
Mkuu kuna maandiko mengi yameandikwa unaweza kujifunza online na huhitaji kuwa kwenye groups za hivyo. Pia kuna course zipo unazoweza kununua online na ukaanza kujifunza na kupata maarifa
 
Mkuu kuna maandiko mengi yameandikwa unaweza kujifunza online na huhitaji kuwa kwenye groups za hivyo. Pia kuna course zipo unazoweza kununua online na ukaanza kujifunza na kupata maarifa
Sawa mkuu
 
Sinto kaa nijaribu kiwekeza fedha mitandao, kwasababu bado nina mengi ya kufanya kila ninapo ishika fedha.
Kabisa helà za migandao hakikisha umeshamaliza kufanya kazi zako zingine za MAENDELEO zinazobaki ingiza huko HATA zikipote potelea mbali
 
Mimi nanunua USDT 2700 nawauzia wana wa Software kwa 2800

Hata iliposhuka hadi 2430 mimi Rate yangu ilikuwa ni kuuza kwa 2800

Hivyo wadau hapa Aggrey walikuwa wakiniungisha kama kawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…