Aoteshwa kwato za Ng'ombe na mkia baada ya kutuhumiwa kutembea na mke wa mtu

Aoteshwa kwato za Ng'ombe na mkia baada ya kutuhumiwa kutembea na mke wa mtu

Squidward

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2014
Posts
7,828
Reaction score
9,546
Mtu mmoja raia wa zimbabwe, azua taharuki mjini baada ya kuonekana akiwa na kwato za ng'ombe na mkia baada ya kutuhumiwa kutembea na mke wa mtu.

Wazee mke wa mtu ni sumu.
Katika nchi zenye waganga wakali zimbabwe, Nigeria, Kenya, DRC, so usijaribu.

VIDEO

Hakuna aliyejaribu kumsimamisha? Mbon alipokaa kuna michanga hajafukiwa kweli hapo?

Hii video ina maswali mengi ila uchawi upo alafu haya mambo huwa hayatangazwi. Sana sana yanaishia mitaani tu

Pendelea kutazama tv za kenya utayaona matukio kama haya kule wanayabahatisha kwa kuyarekodi.

VIDEO 2

Mauzauza huwa yapo sana kwa wanaotuhumiwa kutembea na wake za watu, wengine hukojoa kamba ndefu, wengine hukojoa petroli ukipiga keberiti alipokojolea nyasi zinawaka
 
Mauzauza huwa yapo sana kwa wanaotuhumiwa kutembea na wake za watu, wengine hukojoa kamba ndefu, wengine hukojoa petroli ukipiga keberiti alipokojolea nyasi zinawaka

Kuna watu bado hawaamini haya mambo yanatokea mtaani na huwa yanamalizika kisiri mno.

Ona mfano mwengine kenya huko jamaa anakojoa funza. Shida ni ile ile kutoka na mke wa mtu. Na karekodiwa na chombo cha habari.

VIDEO

Back
Top Bottom