Aoteshwa kwato za Ng'ombe na mkia baada ya kutuhumiwa kutembea na mke wa mtu

Aoteshwa kwato za Ng'ombe na mkia baada ya kutuhumiwa kutembea na mke wa mtu

Mauzauza huwa yapo sana kwa wanaotuhumiwa kutembea na wake za watu, wengine hukojoa kamba ndefu, wengine hukojoa petroli ukipiga keberiti alipokojolea nyasi zinawaka
Mkuu huyo anaekojoa petrol ningekuwa nafuatana nae na kidumu kabisa, mafuta yamepanda sana,
 
Back
Top Bottom