Aoteshwa kwato za Ng'ombe na mkia baada ya kutuhumiwa kutembea na mke wa mtu

Aoteshwa kwato za Ng'ombe na mkia baada ya kutuhumiwa kutembea na mke wa mtu

Kafunika miguu, anadanganya ma ree.
Vyovyote ilivyo ila nchi za wenzetu ni wachawi sana,nina jamaa yangu Mmalawi aliniambia kwao mtu akiibiwa haangaiki na police anachofanya anatafuta mganga mzuri kwa shida atakazompa mwizi wake itabidi aende mwenyewe kituoni kuomba serikali itangaze aliyeibiwa aende akafungue mashtaka ili apate wasaa wa kumuomba msamaha.
 
Huyo ndiye mmoja wao wa wale wakiambiwa mke wa mtu sumu hujibu dudu zao Zina maziwa..hehe uchikolii
 
Wajinga ndio waliwao ( wajinga ndio waliwao )
ooh...wajinga ndio waliwao babaa...( wajinga ndio waliwao ) 🎶

Hiki kapande cha huu wimbo hua ni kitamu hatari.
 
Mambo ya green screen editing, wazungu wanapiga hela,ila huku bongo wana ji trendsha bas ndo akili ilipofikia,
 
Vyovyote ilivyo ila nchi za wenzetu ni wachawi sana,nina jamaa yangu Mmalawi aliniambia kwao mtu akiibiwa haangaiki na police anachofanya anatafuta mganga mzuri kwa shida atakazompa mwizi wake itabidi aende mwenyewe kituoni kuomba serikali itangaze aliyeibiwa aende akafungue mashtaka ili apate wasaa wa kumuomba msamaha.
Ukaamini?
 
Zimbabwe ndio kuna mchanga hivyo? 😂

Chai tu hii
 
Mtu mmoja raia wa zimbabwe, azua taharuki mjini baada ya kuonekana akiwa na kwato za ng'ombe na mkia baada ya kutuhumiwa kutembea na mke wa mtu.

Wazee mke wa mtu ni sumu.
Katika nchi zenye waganga wakali zimbabwe, Nigeria, Kenya, DRC, so usijaribu.

VIDEO

Hii mbona imekaa kama loya tua?
 
Mauzauza huwa yapo sana kwa wanaotuhumiwa kutembea na wake za watu, wengine hukojoa kamba ndefu, wengine hukojoa petroli ukipiga keberiti alipokojolea nyasi zinawaka
Ah huo ulozi Safi kabisaa..

Petrol ilivyopanda bei mbona mtu unachepuka Kwa lazima tu.. Unatoa pump yako kwenye zipu unajaza tank la mafuta unaendelea na mwendo..
 
Back
Top Bottom