Apart from Umakamu mwenyekiti wa chadema,Lisu anafanya shughuli gani nyingine ya kumingizia kipato?

Apart from Umakamu mwenyekiti wa chadema,Lisu anafanya shughuli gani nyingine ya kumingizia kipato?

Ingawa Lissu ni adui wa demokrasia ila kwenye mambo ya elimu na hela hagusiki. Mwanasheria nguli wa zamani mwenye jina hawezi kosa mpunga mrefu. Ilboru to UDSM ni kiashiria tosha kwamba jamaa ana akili nyingi ingawa kaamua kuzitumia kuvuruga demokrasia. Itoshe kusema Lissu hakosi hela za kumtosha yeye na familia yake.
 
Wakuu,hivi lisu anafanya shughuli gani nyingine ya kumuingizia kipato?
1. Umakamu mwenyekiti hakuna mshahara
2. Anapofanya mikutano hapewi posho bali anajitegemea mafuta na kulala.

Upande wa Gadafi yaani Mbowe.
1. Anakopesha chama ili akodi chopa
2. Ruzuku ikija analipa pesa aliyokodi chopa na ufahari wa jukwaa nk
 
Anaconsult kitu gani na wapi?
Ni ulimwengu mgumu sana kama hujui kazi za consultants, ila kuna watu wanakula pesa kirahisi sana. Na uzuri wa kuwa consultant unaweza otea dili moja likakupa hata $200,000 ambayo ni pesa unaweza kaa miezi 6 hujafanya kazi.
 
Wewe Mbaya kweli? Unapamba visivyopambika? Kama ana hayo yote kwanini analialia kuchangiwa hela ya kununua gari la kutembelea? Ushawahi kusikia Mbowe analialia Hana hela?
Mmh ngoja nipite tu,lkn naona mnyukano unataka kufukuta ndani kwa ndani,ni hatari wajameni acheni, yaani wajenzi wa nyumba wameamza gombania fito,tunaenda wapi jamani,nyumba si itabomoka kabla yakujengwa??
 
Back
Top Bottom