Manfried
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 1,288
- 4,074
Huyo Mbowe Hela ya faini Kesi ya mauwaji ya Akwilina alichangiwa na Shujaa Magufuli na family ya Mchungaji Msigwa 😂
Mzee Mgawa we ni chawa na umezeeka sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo Mbowe Hela ya faini Kesi ya mauwaji ya Akwilina alichangiwa na Shujaa Magufuli na family ya Mchungaji Msigwa 😂
Ni Kweli KabisaMzee Mgawa we ni chawa na umezeeka sasa
Kuwa shoga yake na rob amster ndiyo kunizidi?Alkyekuzidi kakuzidi
Anasemea michango ya kufanyia kazi za Chadema siyo ya kujikimu yeye.Mbona analialia kuchangiwa?
Ni makamu mwenyekiti wa ChademaWakuu,hivi lisu anafanya shughuli gani nyingine ya kumuingizia kipato?
Ina maana ushasahau kama Lissu ni Wakili Msomi? Kwani kimewakuta nini ndugu zangu hadi mmekuwa hivi?Wakuu,hivi lisu anafanya shughuli gani nyingine ya kumuingizia kipato?
Endelea kutawaliwa na Mbowe mpaka kufa😁Basi kuwa makini Sana usije ukawa mboga
AhaaaaEndelea kutawaliwa na Mbowe mpaka kufa😁
1. Umakamu mwenyekiti hakuna mshaharaWakuu,hivi lisu anafanya shughuli gani nyingine ya kumuingizia kipato?
Lakini Comrade, si ulimchangia kwa hiyari yako mwenyewe! Au kuna mtu alikushikia mtutu wa bunduki? Kwa nini unalalamika?Laki moja
Ahahahahaha! Bila shaka wewe ni mgeni mitandaoni. Sikulaumu!Alishwai kuja kukulilia, una clip au post yoyote akilialia kuchangiwa?
Humjui Mbowe dogo. Acha kuliaibisha.Mbowe anaishi kwa payroll ya Ccm hawawezi Kuwa sawa
Ahahahahaha! Alisema hivyo wakati anaomba achangiwe? Tunaweza ku google.Yeye anataka gari ya kufanyia kazi za Chama siyo ya kupigia misele.
Ni ulimwengu mgumu sana kama hujui kazi za consultants, ila kuna watu wanakula pesa kirahisi sana. Na uzuri wa kuwa consultant unaweza otea dili moja likakupa hata $200,000 ambayo ni pesa unaweza kaa miezi 6 hujafanya kazi.Anaconsult kitu gani na wapi?
Tutakujibu,ngoja akose Bara na Pwani!Wakuu,hivi lisu anafanya shughuli gani nyingine ya kumuingizia kipato?
Mmh ngoja nipite tu,lkn naona mnyukano unataka kufukuta ndani kwa ndani,ni hatari wajameni acheni, yaani wajenzi wa nyumba wameamza gombania fito,tunaenda wapi jamani,nyumba si itabomoka kabla yakujengwa??Wewe Mbaya kweli? Unapamba visivyopambika? Kama ana hayo yote kwanini analialia kuchangiwa hela ya kununua gari la kutembelea? Ushawahi kusikia Mbowe analialia Hana hela?
Anafanya Biashara gani??Ni mfanyabiashara