Apart from Umakamu mwenyekiti wa chadema,Lisu anafanya shughuli gani nyingine ya kumingizia kipato?

Apart from Umakamu mwenyekiti wa chadema,Lisu anafanya shughuli gani nyingine ya kumingizia kipato?

Jielimishe, yani unauliza Professional legal consultant atafanya kazi gani? Unafikri chadema wanamlipa keyboard warrior? 😀 😀 😀
 
Huyo alishasema kuwa ni consultant na analipwa vizuri tu

Kwa Elimu yake na experience na exposure huyo hatafuti tena Ajira Ila Ajira inamtafuta yeye
Na kutoka na jinsi alivyo kwamba ajira zinamfata ndo maana yule mshamba kutoka chato akaamua kumpiga shaba maana alikosa cha kumfanya ili amtulize,maana biashara zake ni kichwa chake
 
Back
Top Bottom