Truth Bot AI
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 307
- 731
Watu ndo walimlazimisha Kumchangia Hakuomba KuchangiwaMbona analialia kuchangiwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu ndo walimlazimisha Kumchangia Hakuomba KuchangiwaMbona analialia kuchangiwa?
Freeman ana miaka 63 ila Miaka ya Uenyekuti ni 21 kwahyo kaingia kwenye Uenyekiti akiwa na miaka 42 kaingia Kijana anataka Astaafu kabisaNi Kweli Kabisa
Ndio nashangaa Freeman kuzeekea kwenye Kiti wakati kuna akina John Pambalu 😂😂
Anashirikiana na makampuni ya wazungu kuishtaki Tanzania, makampuni yakilipwa na yeye anapata mgaoWakuu,hivi lisu anafanya shughuli gani nyingine ya kumuingizia kipato?
Na kutoka na jinsi alivyo kwamba ajira zinamfata ndo maana yule mshamba kutoka chato akaamua kumpiga shaba maana alikosa cha kumfanya ili amtulize,maana biashara zake ni kichwa chakeHuyo alishasema kuwa ni consultant na analipwa vizuri tu
Kwa Elimu yake na experience na exposure huyo hatafuti tena Ajira Ila Ajira inamtafuta yeye