Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Niseme ukweli nimefuatwa PM nawakadai nakudhalilisha na wao ni wanaume wenzio wakaniomba nikuache basi nikaacha wameniomba kwakweliWe Unique Flower Sema hao walio pm, ili USI nitukane au kunizungumzia vibaya.
๐Aisee nitalewa Kama konde boy leo๐๐๐, Lenie
We sema tu, jla nikilewa nawa lipua๐๐Niseme ukweli nimefuatwa PM nawakadai nakudhalilisha na wao ni wanaume wenzio wakaniomba nikuache basi nikaacha wameniomba kwakweli
Kama huamini sina chakusemaWe sema tu, jla nikilewa nawa lipua๐๐
Sasa SI uwa taje, maana mi Niki jipenda Ina tosha๐ค๐๐Kama huamini sina chakusema
Aisee hapana aiseeSasa SI uwa taje, maana mi Niki jipenda Ina tosha๐ค๐๐
Mna jipa Moyo ๐๐๐, mi mbona hata siwa sumbui๐๐Aisee hapana aisee
Aisee sasa wewe jua ni ukweliMna jipa Moyo ๐๐๐, mi mbona hata siwa sumbui๐๐
Basi wata kuwa ni washakaji wa ukweli๐๐Aisee sasa wewe jua ni ukweli
Eh tena ni watu wazima nimefunga pm ila mmoja ndio na chart naye akawaunga wenzake wakaniomba so nikaacha eti nakudhalilishaBasi wata kuwa ni washakaji wa ukweli๐๐
Ahaaaa hi chai kavu aise๐๐Eh tena ni watu wazima nimefunga pm ila mmoja ndio na chart naye akawaunga wenzake wakaniomba so nikaacha eti nakudhalilisha
Sana wanguWazee wa likes raraa reree and Extrovert .
Hawa wengine nawakubali uchangiaji wao na namna wanavyojichanganya hapa jf To yeye cocastic Mamndenyi Mpwayungu Village Palina Lucas mwashambwa ChoiceVariable rikiboy
I mean no malice to nobody ๐คKila mmoja jf na uchangiaje wake ni funzo au tahadhali Kwa mwingine.Mungu awabariki sana MEMBERS
Japo Ume niacha na kwenda kwa bichwa National Anthem ila go๐๐คฃKila mmoja jf na uchangiaje wake ni funzo au tahadhali Kwa mwingine.Mungu awabariki sana MEMBERS
Ume pagawa mpaka Uzi wangu, una uona wako๐๐คฃ๐คฃNjoo huku kwangu wewe kenge