Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Ebo utawapenda wangapi??😅😅😅 acha To yeye anitunze na kunilea mie.. pambana tu.. sina la kukusaidia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebo utawapenda wangapi??😅😅😅 acha To yeye anitunze na kunilea mie.. pambana tu.. sina la kukusaidia
rafiki yako Rostam Azizi banaaa acha kuhamisha magoriAme baki stamina tu🤣😂, Roma kakimbia marekani🤣😂🙄
Unge watag ili ujue ka wapo Preta, Suma25, NDINDA, Geza Ulole, mna salimiwa na Apeche alolo 🤒Dah! Preta sijui yupo wapi huyu dada mpole sana mwelewa pia, mzee wangu Kubota na harakati za shamba darasa kilimo kwake napata sana madini nikikatiza kule jukwaa la klimo.
Ichoboy, Suma255, Ndinda, Geza ulole Anael hawa tupo kule jukwaa la kenya tunatetea taifa kwa namna yeyote. The Boss, Carasco Putin, na weengi sana.
wote hata wewe nakupenda 😍❤️Ebo utawapenda wangapi??
Azizi Yule dogo muiba mahindi ya shamba la shule?? 🤣😂😂rafiki yako Rostam Azizi banaaa acha kuhamisha magori
Sbdnswote hata wewe nakupenda 😍❤️
asante sana.
Na wewe kazi unashangilia sherehe za wenzako kila siku wewe unapewa offer ngoja wakupe offer fulani ndio utajua hujui kwani uongoo huyu unayemsifia hawezi mtoa mtu hata hapo samaki samaki labda hivi vipabu vya nguruwe walahi siku danganyi 🤣🤣🤣🤣Oyaa Mjep ona hi mbweha🤣😂😂
We hata usipo pendwa, huwa una lazimisha tu🤣😂😂😂Ebo utawapenda wangapi??
Sitakia njoo kwenye uzi wangu nikuambie kitu To yeye anapendawote hata wewe nakupenda 😍❤️
Pamoja mkuu, I mean no malice to nobodyasante sana.
sawa baby najaaa 😉😉Sitakia njoo kwenye uzi wangu nikuambie kitu To yeye anapenda
Sijazoea kulazimisha mtu anipende hunijui eh mie kauzu sio rahisi nijikombe kisa sina njaa ndogo ndogoWe hata usipo pendwa, huwa una lazimisha tu🤣😂😂😂
Dogo azizi yupi au Yule muiba mihogo🤣😂😂sawa baby najaaa 😉😉
Una shingapi mpesa???Sijazoea kulazimisha mtu anipende hunijui eh mie kauzu sio rahisi nijikombe najiweza kiuchumi
Laki nane nanusu nikuonyeshe??Una shingapi mpesa???
hebu tuma hela ya kevant kubwa hapa 255674846674Laki nane nanusu nikuonyeshe??
Nisaidie mkuu🤒Laki nane nanusu nikuonyeshe??
National Anthem ona hi😂🤣🤣hebu tuma hela ya kevant kubwa hapa 255674846674