Apart from yourself, who else is your favorite character on JamiiForums and why?

Apart from yourself, who else is your favorite character on JamiiForums and why?

Kilimbatz, am 4 real Jamaa ni wafuatiliaji wazuri wa makala na uchangiaji wangu.
😊Nimefurah kutambua uwepo wangu......
Nimekuwepo Jf since 2009 ila siku wai fungua account....
Nikafungua account 2016 pia sikua mchangiaji Zaid ya msoma comment...
Nowadays nimekua active kiasi chake....
Tupo pamoja sana😊😊😊
 
Leo namtaja in ha
Jina sijui kalitoa wapi

Afu kuna jamaa mmoja jukwaa la celebrity
Alikua ana picha yake ina kama maswala ya rastafarian alikua muongo balaa afu anachekesha sana akitoa taarifa zake za kutunga

rikiboy
Kijana kijanaaa tupo pamoja naona mimi na wenzangu millioni tunafatilia uzi wako
 
Ngoja nikisaidiwa kumtag in ha I'll ajue Kama unamkubali
 
leadermoe, japo kapotea siku hizi, chalii ya chuga Chaliifrancisco nakubali ucheshi wake, mzee wetu Ushimen ni 🔥🔥
👉Bila kumsahau King Kong III
Asante sana Intelligent businessman
Nashukuru sana kwa kunitambua kama mmoja ya watu unaowafatilia hapa Jf. Much respect bro.

Jumamosi hii naanza awamu ya pili ya ule mkasa, ni moto sana usipange kukosa.

Kuna dili bro, kuna mong'oo kachijanganya hapa, vip lile kosi lako la panga begani roho mkono liko gado nikupe tenda?
 
Back
Top Bottom