Apart from yourself, who else is your favorite character on JamiiForums and why?

Apart from yourself, who else is your favorite character on JamiiForums and why?

Asante sana Intelligent businessman
Nashukuru sana kwa kunitambua kama mmoja ya watu unaowafatilia hapa Jf. Much respect bro.

Jumamosi hii naanza awamu ya pili ya ule mkasa, ni moto sana usipange kukosa.

Kuna dili bro, kuna mong'oo kachijanganya hapa, vip lile kosi lako la panga begani roho mkono liko gado nikupe tenda?
Sorry kwa kuchelewa kuona, ila kikosi kipo kikiongozwa na Mimi intelli, mwizi anaye chipukia National Anthem, mwenyekiti wa mizagamuano Mzee wa kupambania, chambo wa chama Cha wezi Analyse, mpiga chaboo Poor Brain, miyeyusho stow away we mean no malice to nobody. Sera zetu 👉 Panga mkononi
👉 Roho begani
leadermoe
 
Back
Top Bottom