Apart from yourself, who else is your favorite character on JamiiForums and why?

Apart from yourself, who else is your favorite character on JamiiForums and why?

umechoka mwamba? mbona(oh)vipi😕?
Daaaahhh😂😂😂😂😂😂😂 nmecheka baada ya kujaribishia kuisema hiyo “oh”😂😂😂😂 na wewe sasa ulivo eti “umechoka mwamba? Mbona oh, vipi,😂😂😂😂😂😂😂
 
Asante sana Intelligent businessman
Nashukuru sana kwa kunitambua kama mmoja ya watu unaowafatilia hapa Jf. Much respect bro.

Jumamosi hii naanza awamu ya pili ya ule mkasa, ni moto sana usipange kukosa.

Kuna dili bro, kuna mong'oo kachijanganya hapa, vip lile kosi lako la panga begani roho mkono liko gado nikupe tenda?
Miss yah broo leadermoe, rip 🙏
 
Back
Top Bottom