Apart from yourself, who else is your favorite character on JamiiForums and why?

Apart from yourself, who else is your favorite character on JamiiForums and why?

Kwenye maisha tunakutana na Mambo mengi yapo yenye kutufurahisha na kutuhuzunisha.

Japo Kuna baadhi ya vitu ambavyo huwa vinatupa nafasi ya kuwa watu wengine kabisa. Mfano
👉I kwangu ni jamii forums imekuwa ikinifundisha,furahisha,huzunisha na hata muda mwingine kuni habarisha kutokana na baadhi ya uwepo wa baadhi ya watu humu.

Leo nimeona niwataje baadhi ya wana jukwaa humu ambao kwa kiasi chake, huwa wanacheza nafasi kubwa kwa upande wangu.

Bro au mzee wao ni wao huyu Jamaa ni mmoja Kati ya watu ambao jf ime tuunganisha, na nafurahia uwepo wake.
👉Tumejikuta tuna fanana na kuendana baadhi ya vitu.
👉Tumekuwa tukishauriana baadhi ya vitu ambavyo mpaka muda mwingine, nasema maybe my late dad is back. Holla master💪 intelli got your back comrade

👉 Magic and sweet mind mdogo Madame S, since the first day namjua, ameendelea kunishangaza juu ya upole na ucheshi wake. Ni mtoaji mzuri wa ushauri na pia ni ka mtu kakali kakiamua. Lots of love and respect to you.

team ya jf usiku wa Manane, aisee Mimi ni muhanga wa kukesha, Tena yule aliyekubuhu sio kwa ubaya ila it's just for fun . Huwa nacheck movie au hata kuangalia vipindi mbalimbali.
👉Basi katika safari hii nikakutana na lunatic wenzangu ambao ni National Anthem, Mzee wa kupambania, Bantu Lady Dahan, Mafian cartel, Analyse, Poor Brain, Mwachiluwi, ambao Tumekuwa tukitaniana na kushaurina baadhi ya vitu. Oya nyie wajuba nawakubali Sana.

waandishi wa makala mbalimbali, Kuna baadhi ya waandishi ndani ya jf wamekuwa wakiandika baadhi ya articles ambazo zimekuwa 👉zikinifunza,kunijuza
👉 Habarisha
👉Fundisha
👉 Furahisha na hata kunishangaza kutokana na Visa vyao.
Leo nimeona niwataje baadhi yao ambao kwa kiasi chake, nimekuwa nikijifunza mengi kutoka kwao.
👉 Big bro Analyse, Visa kuhusu maisha yake ni vingi, habari kuhusu hustles zake za maisha,mapenzi, mahusiano ya kifamilia. Ila yote kwa yote kudos to you.

👉 JBourne59, mzee mwenye haiba ya utofauti, msomi ambaye amekuwa akitumia baadhi ya muda wake kutujuza au kutufundisha baadhi ya Mambo aliyokutana nayo.
👉 CONTROLA, mzee wa hints zinazohusu biashara.
👉 Liverpool VPN, raisi wa chama Cha kataa ndoa. Sera zake zinafurahisha Sana.
👉Raisi wa chama Cha mkono bao na sheria ya kumwaga nje dronedrake
👉 paschal mayalla
👉 LIKUD,
👉 Genius Da'Vinci na habari zinazohusu mengi.
👉 SteveMollel, hutu ni legend kwani toka enzi za anga la washenzi mpaka Zama za jirani wa goba. Still hajawai flop.
👉wazee wa hip hop, team Cannabis, makaveli10 and others
👉 Vichaa wenzangu, hoja na habari zenu zina nifurahisha baadhi ya nyakati Unique Flower, mpwayungu village, and great GENTAMYCINE, Chizi Maarifa na mkewe trudie lots of respect to you guys
👉Twin sisters Antonnia na Cha ukorofii Lovelovie Hawa wanapenda utani, wacheshi na pia ni wakorofi ukiwauzi, tatizo wakila ban utaona malalamiko yao. Ila bless be upon you friends
👉 Miss Nuzulati, mpole, mcheshi na akikasirika ana kuwa Kama pilipili ya unga. Hanaga mambo mengi👌
👉 Mshana Jr nyuzi zake ni nyingi na baadhi Zina maarifa ya kutosha sana. Iwe kuhusu jamii au nadharia mbalimbali.
👉 Carlos The Jackal,
Team movies and series, 👉mna play role kubwa Sana, maana Kuna time nakuwa nimechoka ila mkitoa hints kuhusu movie au season basi mood yangu inaenda juu 💯 Introsagvert, Living Pablo, Numbisa, Khantwe

👉Kuna Hawa wazee wa comment, ukija na hasira au umevurugwa. basi unaweza cheka bila sababu 👉 bro Extrovert, chalii was chuga Chaliifrancisco, mzee wa totoz mzabzab, mzee mwenye hekima, ambae haeleweki ana wasapoti au kuwapinga wazee wa kataa ndoa great Ushimen, King Kong III, huyu Jamaa anajua Sana utani. Hoja au maoni yako yatakuacha hoi

Wazee wa kutoa likes, Hawa hawana baya uwe expert au new member, basi lazima wakupe shavu mkwepu jr, Half american and others. Kudos

Wazee wa jf sport, upinzani ni mkubwa Sana,Tumekuwa tukijadiliana ama kubishana kuhusu soka. Aisee mko wengi kuanzia team arsenal,simba Hadi yanga 👉 Castr, hamis77, ladies Kalpana, Shadeeya, Bantu Lady, great GENTAMYCINE

And many others I appreciate your appearance here in jf, pole kwa wale wote wataokwazika kwa Mimi kuwataja. Ni kiherehere changu tu.

👉 Don't forget iam a big fan of my self Intelligent businessman .View attachment 2544334
Aaargh turudie ana vuta mabhangi yule huwa hata sielewi alishikaje shikaje mimba. Ila hafai kukaa na mtoto kabisa. Sometime dish lake halishiki network kabisa.... basi tu watu tunavulia mengi. Mtu unawaza nilianzaje kupiga sehemu flani bila gum boot. Anyway ndo maisha. Sisi watu genius huwa tunaangukia sehemu za kushangaza sana.
 
Mfanyabiashara Wa Madini Mmoja Aligundua Kuwa Kuna Panya Ndani Ya Nyumba Yake Kameza ALMASI

Akamwita Muwindaji Aje Aue Panya Ili Aipate ALMASI Yake.... . Muwindaji Akamwaga Chakula Wanachopenda Sana Panya, Panya Wote Wakaja Kula Isipokuwa Panya Mmoja Tu Alikss Pembeni

Muwindaji Akamuua Yule Panya Aliejitenga Na Akampasua TUMBO, Akaikuta ALMASI na Kumpa Mhusika...

Mfanyabiashara Alishangaa Sana Kisha Akamuuliza Yule Mwindaji! ....Je, Ulijuaje Kama Yule Panya Aliejitenga Ndo Aliemeza ALMASI?

Mwindaji Akacheka Kwa Dharau Na Kusema " Mpumbavu Yeyote Akitajirika Huwa Anajitenga Na Ndugu Zake" 😂😁
Lenie, mshamba_hachekwi, National Anthem, To yeye, Mzee wa kupambania, Mjep, Unique Flower, Nuzulati
👉 I mean no malice to nobody
 
Mfanyabiashara Wa Madini Mmoja Aligundua Kuwa Kuna Panya Ndani Ya Nyumba Yake Kameza ALMASI

Akamwita Muwindaji Aje Aue Panya Ili Aipate ALMASI Yake.... . Muwindaji Akamwaga Chakula Wanachopenda Sana Panya, Panya Wote Wakaja Kula Isipokuwa Panya Mmoja Tu Alikss Pembeni

Muwindaji Akamuua Yule Panya Aliejitenga Na Akampasua TUMBO, Akaikuta ALMASI na Kumpa Mhusika...

Mfanyabiashara Alishangaa Sana Kisha Akamuuliza Yule Mwindaji! ....Je, Ulijuaje Kama Yule Panya Aliejitenga Ndo Aliemeza ALMASI?

Mwindaji Akacheka Kwa Dharau Na Kusema " Mpumbavu Yeyote Akitajirika Huwa Anajitenga Na Ndugu Zake" 😂😁
Lenie, mshamba_hachekwi, National Anthem, To yeye, Mzee wa kupambania, Mjep, Unique Flower, Nuzulati
👉 I mean no malice to nobody
Yeah,usijitenge nasi.....we need you Boss
 
Back
Top Bottom