House4Sale Apartment inauzwa kwa bei ya promosheni

House4Sale Apartment inauzwa kwa bei ya promosheni

mmewadadako

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2019
Posts
534
Reaction score
844
-Apartment iko posta ghorofa ya 10s
-Ukiwa kwenye apartment unaitazama bahari kwa upande mmoja kwa upande mwingine unautazama mji kwa ufasaha kabisa
-Ina vyumba vitatu vya kulala, kimoja ni masterbedroom (kina choo ndani)
-Sebule( sitting room)
-Dinning (sehemu ya kulia)
-Washroom (sehemu ya kufulia)
-Public toilet ( choo cha jumuia)
-Kitchen( jiko)
-Store( stoo)
-Balcony( bakoni kwa ajili ya kuanikia nguo au kupumzika upenuni)


VITU VINGINE
-Air condition (AC)
-Makabati ya ukutani jikoni
-Mashine ya kufulia
-Vitanda
-Kabati
-Meza ya dinning na viti
-Tv
-Taa za kupendeza
-na vitu vingine vingi

Kiufupi imekamilika ukinunua unakuta kila kitu ndani unahamia na begi lako tu basi. Kila kitu utakikuta hapo

UMILIKI
Apartment inamilikiwa kihalali, mnunuzi atakaponunua atapewa legal documents za umiliki na hatua zote za kubadilisha umiliki zitafuatwa

BEI

-200,000 Usd ambayo kwa pesa ya kitanzania ni Tsh 460,000,000 ( milioni mia nne na sitini tu )

MAWASILIANO

0738 783 625/0765 494 548

Karibuni sana na akhsante
IMG-20200306-WA0044.jpeg
IMG-20200306-WA0036.jpeg
IMG-20200306-WA0030.jpeg
IMG-20200306-WA0045.jpeg
IMG-20200306-WA0048.jpeg
IMG-20200306-WA0028.jpeg
IMG-20200306-WA0024.jpeg
IMG-20200306-WA0023.jpeg
IMG-20200306-WA0022.jpeg
IMG-20200306-WA0035.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu neno promosheni naona linakuchanganya kidogo kiuelewa..promosheni haimaanishi kuwa utauza kitu kwa bei ya chini sana...promosheni ni kama discount ambayo muuzaji anaitoa kwenye bidhaaa yake..mfano bei ya soko (market value) la apartment kama hio kwa posta ni 250k usd ila muuzaji akaiuza kwa 200k usd hio tayari ni promosheni...

Huyo aliesema bei ni ghali sana angekuja na benchmark kuwa soko la apartment kama hio kwa posta ni kiasi hiki then kwa hio price yangu mimi ni ghali sana.
Ntajulia wapi mm bei za posta ikiwa hata chanika sina kiwanja, ila mm nimetoa maoni yangu tu yaani namna ulivyotuvuruga mara wasema bei ya promotion mara wasema ndio bei za posta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo ndio maeneo ya kuishi yani akili unatulia tuli unawaza vitu kwa umakini unaweza ukagundua hata dawa ya kuangamiza Corona dunia nzima kwa kwa nusu saa tu sisi wa Buza wacha tupambane na hali zetu
 
Iko mitaa gani hiyo apartment? Na usawa huu mwambie apunguze bei tuongee.
 
Ipo kwenye ghorofa ya 10.

Kuna elevator iliyo reliable?

Halafu hiyo bei sasa....hmm....
 
Back
Top Bottom