Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Wewe mfanyabiashara, sitaki kukuharibia biashara yako.
Usiite post yangu "just opinion" wakati habari zote nilizoandika zipo mtandaoni.
Sijisikii kuutoa uzi huu kwenye maudhui yako ya kuuza apartment na kuanza kubishana nawe point by point kuhusu mambo niliyoandika.
Lakini, ukitaka niende huko naweza.
Mimi siandiki kitu nisichokijua, hiyo market ya kimataifa naijua, kwa sababu nishanunua nyumba na kusaidia watu kununua nyumba.