House4Sale Apartment inauzwa kwa bei ya promosheni

House4Sale Apartment inauzwa kwa bei ya promosheni

Kuna watu ukielezea maisha yako tu, yani si kwa nia ya kujisifia au kuwanyanyapaa wao, wao wanajisikia vibaya.

Kwa sababu wao wameshindwa kufikia hapo ulipofikia.

Sasa hapo lazima ushangae, unanikasirikia mimi, kwani mimi ndiye niliyekufanya ushindwe katika maisha haya?

Yani mimi kuishi kaulimbiu ya JF ya "Where we dare to talk openly" kuhusu maisha yangu, wewe ishakuuma tayari?

Wivu gani huo?
Yaani nimeandika neno moja "Dah" halaf wala sijaku quote wewe. Umekuja na maneno miiingiii. Just Dah!
 
Yo Njabu....come on and let’s shoot the fair one 🤛.

Me and you....mano a mano.
You must be tired of fighting your lover now, brazen fag Julius Magaymbe? Mano a mano sounds very gay to me, by the way.
 
Hata kama nina kazi ya kujisifia (si kujisifiaga, ukiandika kujisifiaga unanionesha wewe ni mshamba wakuja) hilo si tatizo.

Kama nina kazi ya kujisifia, si kweli kwamba sina lolote.

Kwa sababu nina kazi ya kujisifia.

Kama sina lolote, sina hata kazi ya kujisifia.

Chagua moja, sina lolote au nina kazi ya kujisifia?

Mawili haya hayawezi kuwa kweli yote kwa pamoja.

Pia,

Kutojisifia si sifa nzuri.

Wasiojisifia wana mengi ya kutojisifia.

Tunaojisifia tuna mengi ya kujisifia.

Ningekuona wa maana kama ungenibishia kwa kituo katika ninayojisifia.

Lakini naona huna ubongo wala uti wa mgongo wa kunibishia.

Unaishia kunipiga vijembe vya wivu wa kuyataka maisha ninayoishi wakati huwezi kuyapata.
Kama kweli ungekuwa ni tajiri na kuishi maisha ya anasa uko USA kama unavyodai usingekuwa na muda wa kutwa kushinda Jamiiforums kujigamba na kutembeza dharau zako. Watu wa levels hizo unazo pretend hawana muda huo. Inaonekana una tabia za kitoto na za kike.
 
Asante sana.

Nime

1.Uninstall JF app.
2. Searched and downloaded JF app from apkpure.com version ni v8.0.48
3.Nimeenable installing apks
4.Nime install hiyo apk
5.Bado tatizo la kuona notifications za mwisho 22 September 2019 liko pale pale
6. Bado picha hazionekani.

Wewe app yako version gani? It should be in settings.

Labda kuna apk mpya zaidi ya hii?
Yangu pia ni hiyohiyo 8.0.48

Labda ujaribu tapatalk then usearch JF..Kutokupata notification ni usumbufu na ina kera sana
 
JF kila mtu tajiri, masikini tupo wachache sana waliobaki wote karibia 90% wako vizuri, kifedha, kiakili, etc alafu wewe jamaa punguza ujuaji kila sehemu unajua wewe daah
 
Snooty bi.tch Ngaybu and your sidekick; the cocky, know-all, bombastic, braggadocious, pretentious faggot Kiranga, where you at? Mmeingia mitini, au?
 
Yaani nimeandika neno moja "Dah" halaf wala sijaku quote wewe. Umekuja na maneno miiingiii. Just Dah!
Hata hapa naweza kuendeleza libeneke kama nalipwa kwa kila neno ninaloandika.

Utafanya nini?
 
Yangu pia ni hiyohiyo 8.0.48

Labda ujaribu tapatalk then usearch JF..Kutokupata notification ni usumbufu na ina kera sana
Asante mkuu kwa msaada. Nimeinstall Tapatalk.Imemaliza matatizo ya picha na notification.

You are a gentleman and a scholar.
 
Msnenge Ngaybu, I could put a knife in your spine and may be even bust a few caps in your faggot ass. Nyie machoko naona maisha yamewashinda huko USA mmeishia kila kukicha kuondoa stress zenu kwa kutukandia sisi tulio TZ wakati mortgages zenu zinawasubiri.
 
Back
Top Bottom