House4Sale Apartment inauzwa kwa bei ya promosheni

House4Sale Apartment inauzwa kwa bei ya promosheni

Wewe mfanyabiashara, sitaki kukuharibia biashara yako.

Usiite post yangu "just opinion" wakati habari zote nilizoandika zipo mtandaoni.

Sijisikii kuutoa uzi huu kwenye maudhui yako ya kuuza apartment na kuanza kubishana nawe point by point kuhusu mambo niliyoandika.

Lakini, ukitaka niende huko naweza.

Mimi siandiki kitu nisichokijua, hiyo market ya kimataifa naijua, kwa sababu nishanunua nyumba na kusaidia watu kununua nyumba.
Huna lolote, una kazi ya kujisifiaga tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna lolote, una kazi ya kujisifiaga tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama nina kazi ya kujisifia (si kujisifiaga, ukiandika kujisifiaga unanionesha wewe ni mshamba wakuja) hilo si tatizo.

Kama nina kazi ya kujisifia, si kweli kwamba sina lolote.

Kwa sababu nina kazi ya kujisifia.

Kama sina lolote, sina hata kazi ya kujisifia.

Chagua moja, sina lolote au nina kazi ya kujisifia?

Mawili haya hayawezi kuwa kweli yote kwa pamoja.

Pia,

Kutojisifia si sifa nzuri.

Wasiojisifia wana mengi ya kutojisifia.

Tunaojisifia tuna mengi ya kujisifia.

Ningekuona wa maana kama ungenibishia kwa kituo katika ninayojisifia.

Lakini naona huna ubongo wala uti wa mgongo wa kunibishia.

Unaishia kunipiga vijembe vya wivu wa kuyataka maisha ninayoishi wakati huwezi kuyapata.
 
Hata kama nina kazi ya kujisifia (si kujisifiaga, ukiandika kujisifiaga unanionesha wewe ni msamba wakuja) hilo si tatizo.

aise..!
 
Hapo sijamuwekea hata gia ya Kiduku Lilo kashaanza kulalamika.

Huyu guluguja lazima fimbo zinamuuma, nikieleza maisha yangu kikawaida tu bila kujua kwamba najisifia, kashaona najisifia.

Kuna watu wako hivyo.

Nakumbuka kuna siku shule Tambaza, nilikuwa naagana na masela.

Nikamwambia mchizi mmoja tulikuwa tunakaa wote Oysterbay "Nitakupigia simu baadaye tuongee". Tulikuwa tunaongea sana,enzi za land line, just for the hell of it.

Yule mchizi ali mind.Naye alikuwa anakaa Oysterbay.

Akasema "Wewe mbona unaleta mambo ya kupigiana simu pale kuna watoto wa Temeke kwao hamna simu?".

Nikawa nashangaa sana.

Sasa kama kwao hakuna simu hilo linakuwaje kosa langu?

Mimi ndiye nilisababisha wakose simu?

Pengine mimi natakiwa niwaamshe wenzangu ambao wanaona simu ni anasa wajue kwamba tunatakiwa kuwasiliana kirahisi kwa simu, na kwamba simu si anasa!

Sasa huyu mshamba anaweza kuniona najigamba hapa, kumbe mimi ni tabia yangu kuongea kwa uhuru kinyamwezi tu bila kujali mshamba yupi atafikiria vipi kuhusu maisha yangu.

Yani mimi nianze kujali mshamba fulani atanifikiria vipi kwa sababu gani?

Namuogopa au vipi?

Tell him to get the fvck outta here!
 
Hata kama nina kazi ya kujisifia (si kujisifiaga, ukiandika kujisifiaga unanionesha wewe ni msamba wakuja) hilo si tatizo.

Kama nina kazi ya kujisifia, si kweli kwamba sina lolote.

Kwa sababu nina kazi ya kujisifia.

Kama sina lolote, sina hata kazi ya kujisifia.

Chagua moja, sina lolote au nina kazi ya kujisifia?

Mawili haya hayawezi kuwa kweli yote kwa pamoja.

Pia,

Kutojisifia si sifa nzuri.

Wasiojisifia wana mengi ya kutojisifia.

Tunaojisifia tuna mengi ya kujisifia.

Ningekuona wa maana kama ungenibishia kwa kituo katika ninayojisifia.

Lakini naona huna ubongo wala uti wa mgongo wa kunibishia.

Unaishia kunipiga vijembe vya wivu wa kuyataka maisha ninayoishi wakati huwezi kuyapata.
Pathetic little troll just as pig ignorant as the orange buffoon u.....! Kiss ur a...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pathetic little troll just as pig ignorant as the orange buffoon u.....! Kiss ur a...

Sent using Jamii Forums mobile app
You are doing what psychologists call "projection".

You are the actual troll, and yet you are projecting that trolling on me, by calling me a troll.

Psychological Projection: Dealing With Undesirable Emotions

Everyday Health Emotional Health
Psychological Projection: Dealing With Undesirable Emotions
Last Updated: 11/15/2017

Psychological projection is a defense mechanism people subconsciously employ in order to cope with difficult feelings or emotions. Psychological projection involves projecting undesirable feelings or emotions onto someone else, rather than admitting to or dealing with the unwanted feelings. Have you ever disliked someone only to become convinced that the person had a vendetta against you? This is a common example of psychological projection. Luckily, there are methods you can use to identify why you are projecting your emotions and put a stop to this coping mechanism.
 
Kuna watu ukielezea maisha yako tu, yani si kwa nia ya kujisifia au kuwanyanyapaa wao, wao wanajisikia vibaya.

Kwa sababu wao wameshindwa kufikia hapo ulipofikia.

Sasa hapo lazima ushangae, unanikasirikia mimi, kwani mimi ndiye niliyekufanya ushindwe katika maisha haya?

Yani mimi kuishi kaulimbiu ya JF ya "Where we dare to talk openly" kuhusu maisha yangu, wewe ishakuuma tayari?

Wivu gani huo?
 
Asante sana.

Nime

1.Uninstall JF app.
2. Searched and downloaded JF app from apkpure.com version ni v8.0.48
3.Nimeenable installing apks
4.Nime install hiyo apk
5.Bado tatizo la kuona notifications za mwisho 22 September 2019 liko pale pale
6. Bado picha hazionekani.

Wewe app yako version gani? It should be in settings.

Labda kuna apk mpya zaidi ya hii?
Unaifahamu Tapatalk?

Sent from my Nokia 7.1 using Tapatalk
 
Siyo tu hujanikwaza, huwezi kunikwaza, yaani kuna level fulani ya akili ya kuweza kunikwaza hujaweza kufikia.

Nilikuwa namjibu huyo, wewe nilishaachana nawe.

Na wewe mfanyabiashara.Mimi mtoto wa mjini, naelewa biashara.

Hapo Posta unapopataja kuuza apartment, familia yangu imemaliza kujenga nyumba hapo tangu mwaka 1903, na hiyo ni iliyopo kwenye record tu, kuna nyingine za kabla ya hapo sizijui.

Nishasema nilichotaka kusema na sina lengo la kujibizana na wewe zaidi hapa, maana naona kama naweza kukuharibia biashara yako.

Peace!
Pesa haijipigishi kelele kama unazopiga wewe. Acha sifa za kipumbavu ktk nyuzi za watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona una majigambo sana na dharau wewe jamaa? Hivi hujioni! Talk is cheap! Weka basi nyumba yako au chichote cha maana unachodai kumiliki tuone kama ni kweli. Una dharau sana wewe mtu. Siku zote Unajiona wewe ni bora kuliko mtu yeyote kwa kila kitu. Nashangaa kama ni mtu wa ways and means kama unavyodai kwa nini kutwa upo humu JF kuperuzi nyuzi na kutembeza dharau zako. Watu wenye level hiyo unayodai si tu hawana muda huo, hata tabia hiyo hawana.
Achana nae mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pesa haijipigishi kelele kama unazopiga wewe. Acha sifa za kipumbavu ktk nyuzi za watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua mwanzoni jamaa alikuja analalamika haoni picha app yake inazingua ikabidi nimtumie picha pm kiroho safi nikijua jamaa mtu safi tu ana lengo zuri.

Baadae akaanza kuongea uozo nikaona kumbe huyu jamaa taahira.Watu kama hao mkuu usibishane nao muache tu aelezee mashudu yake akitosheka na ujinga wake atakaa kimya..

mjinga mpe cheo

Ukiona mtu ana tabia ya kukashifu biashara za watu ujue wivu roho mbaya na umasikini unamsumbua kitu hukitaki au hukipendi acha tu halafu kwanini mafukara wengi wanapenda kujisifu na kujitangaza kuwa wanauwezo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kabisa mkuu..mtu kama hujapenda au huna uwezo nacho unakaa pembeni tu unatuliza kende
Ukiona mtu ana tabia ya kukashifu biashara za watu ujue wivu roho mbaya na umasikini unamsumbua kitu hukitaki au hukipendi acha tu halafu kwanini mafukara wengi wanapenda kujisifu na kujitangaza kuwa wanauwezo sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini kutakuwa na gharama za kuchangia kama ulinzi standby generetor nakadhalika hapo inakaaje mkuu isijekuwa kama umepanga tena. Nauliza tu ungawa najua gharama kama hizi mtu huwezi kukwepa popote
ndio mkuu hizi gharama zipo kama ulivyosema hapo suala la ulinzi na mafuta kwenye generator mnachangia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom