mmewadadako
JF-Expert Member
- Mar 29, 2019
- 534
- 844
- Thread starter
- #21
mkuu nicheki kwenye no angu tuongeeIko mitaa gani hiyo apartment? Na usawa huu mwambie apunguze bei tuongee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu nicheki kwenye no angu tuongeeIko mitaa gani hiyo apartment? Na usawa huu mwambie apunguze bei tuongee.
Ipo kwenye ghorofa ya 10.
Kuna elevator iliyo reliable?
Halafu hiyo bei sasa....hmm....
ucjali mkuu we jipange tu utanijulishaNaiombea hiyo isipate mteja hadi Jumatano nitakapokuwa tayari kuinunua
Nime uninstall na ku install upya.Update your APP
Inshaallah
jengo lina zaidi ya ghorofa ishirini...apartment ipo kwenye floor za 10s
mkuu elevator (lift ) ipo full time maana ni jengo linalotumika tayari
Sent using Jamii Forums mobile app
Nime uninstall na ku install upya.
Si tu picha bado hazionekani, sasa hii installation mpya imeleta tatizo jioya, uodates za mwisho naona ni za September 22 2019.
Baada ya hapo sioni notification updates!
It made the app even worse.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeme ukikatika kuna kibanda Cha walinzi unakesha nao. Oops sorry nimejibu kama na mie mhusika vileTanzania inajulikana kwa kutokuwa na huduma ya umeme isiyoaminika.
Endapo umeme unakatikakatika, na endapo hiyo elevator inapatwa na hitilafu, kuna contingency plans gani?
Kuna on-site maintenance staff ambao wanaweza ku-respond haraka? Kuna jenereta labda?
Tanzania inajulikana kwa kutokuwa na huduma ya umeme isiyoaminika.
Endapo umeme unakatikakatika, na endapo hiyo elevator inapatwa na hitilafu, kuna contingency plans gani?
Kuna on-site maintenance staff ambao wanaweza ku-respond haraka? Kuna jenereta labda?
-Apartment iko posta ghorofa ya 10s
-Ukiwa kwenye apartment unaitazama bahari kwa upande mmoja kwa upande mwingine unautazama mji kwa ufasaha kabisa
-Ina vyumba vitatu vya kulala ,kimoja ni masterbedroom (kina choo ndani)
-Sebule( sitting room)
-Dinning (sehemu ya kulia)
-Washroom (sehemu ya kufulia)
-Public toilet ( choo cha jumuia)
-Kitchen( jiko)
-Store( stoo)
-Balcony( bakoni kwa ajili ya kuanikia nguo au kupumzika upenuni)
VITU VINGINE
-Air condition (AC)
-Makabati ya ukutani jikoni
-Mashine ya kufulia
-Vitanda
-Kabati
-Meza ya dinning na viti
-Tv
-Taa za kupendeza
-na vitu vingine vingi
kiufupi imekamilika ukinunua unakuta kila kitu ndani unahamia na begi lako tu basi.Kila kitu utakikuta hapo
UMILIKI
Apartment inamilikiwa kihalali,mnunuzi atakaponunua atapewa legal documents za umiliki na hatua zote za kubadilisha umiliki zitafuatwa
BEI
-200,000 Usd ambayo kwa pesa ya kitanzania ni tsh 460,000,000 ( milioni mia nne na sitini tu )
MAWASILIANO
0738 783 625/0765 494 548
Karibuni sana na akhsanteView attachment 1379616View attachment 1379617View attachment 1379618View attachment 1379619View attachment 1379621View attachment 1379622View attachment 1379623View attachment 1379624View attachment 1379625View attachment 1379626
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania inajulikana kwa kutokuwa na huduma ya umeme isiyoaminika.
Endapo umeme unakatikakatika, na endapo hiyo elevator inapatwa na hitilafu, kuna contingency plans gani?
Kuna on-site maintenance staff ambao wanaweza ku-respond haraka? Kuna jenereta labda?
ghali mno mkuu
Mkuu hata notifications za PM mpya sipati sasa, ni kama notifications zote zimeishia September 22 2019.
Kwa watu walio katika market ya kimataifa hii apartment ni underwhelming.
1. It is very basic by international standards.
It does not appear to be spacious. What is the size?
2. It is on a par with some apartments in the vicinity of some major cities (take Miami Florida for exampke), where there are more amenities (swimming pools, gyms etc)and services. If you watch shows like "House Hunters" or its International vwrsionyou will know what I am saying.
One can get a three floors condo or townhouse, around 2,500 sq ft, just outside of Philadelphia for just about that much.
3. The Tanzanian economy and governmental outlook on trade/ real estate is neither stable nor clear. Things go by whims and fits.
4. Real Estate prices are bound to fall further, if one is not in a hurry, one could wait.
5.I do realize not everyone is interested in the international market or has access to it, and some peoole are more interested in the domestic market. I am just pointing out a cimparison and equating value for money.
6. The location is the most attractive part if this deal. One could even make this an AirBnB or rent it out to international clients doing business in downtown Dar, who do want to have a hime like environment rather than a hotel.
7. The furniture is rather basic, it could be better than that.
8. The interior can use a bit if decoration. Perhaps that is keft for the owners touch.
9.Genuine questiin. Are there fire brigade trucks with equipment to extinguish a fire on the 10th floor in Dar?
10. The exact location would be nice.
Sent using Jamii Forums mobile app