Apata ajali akisafiri na UNGO

Jax66

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2023
Posts
561
Reaction score
510
Mwanamke mmoja amekutwa akiwa mtupu katika ofisi za TANESCO manispaa ya songea mkoani Ruvuma, mwanamke huyo inadaiwa alikua akisafiri kwa UNGO akitokea mkoani Mtwara na akielekea Nyasa lakin hakufanikiwa na mwishowe kuanguka katika ofisi izo za TANESCO majira ya saa9 usiku.

Duuh kumbe haya mambo yapo kabisa wakuu....sasa sijui ndege ya bidada ilipata itilafu gani au wese liliisha!
 

Attachments

  • Screenshot_20250312-135732.png
    662.9 KB · Views: 2
  • Screenshot_20250312-135723.png
    530.4 KB · Views: 1
Surely bro! Ungo unapaaje? Tuache story za, kitoto
 
Surely bro! Ungo unapaaje? Tuache story za, kitoto
Kwahyo unataka kuleta ubishi na wakat jambo liko wazi?!! na apo bidada kastiriwa na kanga baada ya kukutwa na raia kama wote mtupuu(uchi wa mnyama) kweny ofisi za TANESCO.
 
Kha hivi uchawi wa kulunga na ungo au kukukaba usiku wakati umelala bado upo?
 
Acha uongo. Kama ni kweli weka picha mjongeo(video) ikionyesha alipokuwa angani akiruka kabla ya kuanguka
 
Skylar yule shangazi yangu Yuko huku JamiiForums ana trend 📈 📈 graph zàke zinapanda tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…