Jax66
JF-Expert Member
- Nov 10, 2023
- 561
- 510
Mwanamke mmoja amekutwa akiwa mtupu katika ofisi za TANESCO manispaa ya songea mkoani Ruvuma, mwanamke huyo inadaiwa alikua akisafiri kwa UNGO akitokea mkoani Mtwara na akielekea Nyasa lakin hakufanikiwa na mwishowe kuanguka katika ofisi izo za TANESCO majira ya saa9 usiku.
Duuh kumbe haya mambo yapo kabisa wakuu....sasa sijui ndege ya bidada ilipata itilafu gani au wese liliisha!
Duuh kumbe haya mambo yapo kabisa wakuu....sasa sijui ndege ya bidada ilipata itilafu gani au wese liliisha!