Apigwa shoti na kupoteza nguvu akiiba Transfoma ya TANESCO Manyoni

No reform no election ⚒️ 💯
 
Mtaa mgumu sana, mwamba kafia mzigoni. Apumzike panapomstahili
 
Kuna mmoja kama mwezi nyuma alifariki na mwenzie waliokuwa wanaiba pamoja akawa mahututi...sijui nae kama alipona

wao walikuwa wanaiba nyaya kwenye eneo la sub station mtoni zanzibar
 
Yote haya yamesababishwa na ccm kufuja maliasili Hadi watanzania wanakosa vitega uchumi na kugeukia wizi wa transfoma
 
Kumaanisha, alipoteza nguvu za kiume tu labda. 🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…