spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
wewe hujawahi panda TIPPER?Walikaaje?
Walifungaje mikanda?
Hujawahi panda Fuso la Msibani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe hujawahi panda TIPPER?Walikaaje?
Walifungaje mikanda?
Hakuna muujiza wowote hapo.
Naamini ndege haikuwa na viti. Huenda likikuwa dege la "jeshi" kubwa kama kanisa !
Nimekuwekea title ya huo uzi hapo inapoanza na Afghanistan.Unakumbuka title ya huo uzi?
Ni raia waliohofia usalama wao wakibaki mule so US iliwabeba ila wakawagawa mataifa mbalimbali hasa US na UlayaWalizamia Marekani au walipewa "mwaliko"?
Siyo fuso tu, hata trekta na power tiller nilishapnda.wewe hujawahi panda TIPPER?
Hujawahi panda Fuso la Msibani?
Aisee!Ni raia waliohofia usalama wao wakibaki mule so US iliwabeba ila wakawagawa mataifa mbalimbali hasa US na Ulaya
Thanks. Nimeiona.Nimekuwekea title ya huo uzi hapo inapoanza na Afghanistan.
Pia nimeku-mention kwenye uzi wenyewe, upo Jukwaa la International forum.
Ilikuwa Fly EmiratesEthiopian Airlines?
Kwenye videge vidogo ni shida sana. Lakini madege makubwa ya jeshi na mizigo ni kawaida tu,.Purukushani zile za angani wakati wa kubadilisha miruko, kutua, n.k. bila kufunga mikanda itakuwaje?
Labda aliyewahi kusafiri bila kufunga mkanda atupe uzoefu.
UnawezaKwani huwezi kusafiri kwenye ndege bila kufunga mkanda?
Haukuona zile ndege zilizokua zinabeba watu wanaowakimbia taliban?Siyo fuso tu, hata trekta na power tiller nilishapnda.
Lakini ndege isipokuwa na viti hapana.
Mikanda unaipata wapi kwenye dege la mizigo?Sidhani kama kuna rubani atakayekubali kurushwa ndege ambayo abiria wake hawajafunga mikanda. Ni hatari sana. Kuna watu walishapoteza maisha kwa sababu tu walipuuzia kufunga mikanda wawa kwenye ndege
Utofauti wenu ni mdogo sanaWewe huwa sio wa kuamini haraka haraka
Nimewahi kudanganya nini mkuu?Utofauti wenu ni mdogo sana
Na we zile hesabu zako kwa Aziz Ki inakuaje mwasibuWewe huwa sio wa kuamini haraka haraka
Azizi KiiNimewahi kudanganya nini mkuu?
Abiria wote walikaa kwenye mikeka, hiyo ilikuwa Operation Solomon.View attachment 2986732
REKODI YA DUNIA ya abiria wengi kupanda kwenye ndege moja iliandikwa mwaka 1991 baada ya abiria 1086 Waethiopia wenye asili ya Uyahudi kupakizwa kwenye ndege aina ya Boeing 747 kutoka Ethiopia kwenda Jerusalem nchini Israel......
Baada ya kufika Jerusalem abiria waliongezeka kutoka 1086 hadi 1088 baada ya watoto wawili kuzaliwa katikati ya safari
Wote Walikaa kwenye seat au ilikuwa mwendo wa kusimama na wengine kupakatana kama daladala za mbagala?View attachment 2986732
REKODI YA DUNIA ya abiria wengi kupanda kwenye ndege moja iliandikwa mwaka 1991 baada ya abiria 1086 Waethiopia wenye asili ya Uyahudi kupakizwa kwenye ndege aina ya Boeing 747 kutoka Ethiopia kwenda Jerusalem nchini Israel......
Baada ya kufika Jerusalem abiria waliongezeka kutoka 1086 hadi 1088 baada ya watoto wawili kuzaliwa katikati ya safari
Bila turbulence hakuna shidaa........mimi pilot mdogo nikifanya kazi pilot 2yrs nikapata shida .....nikapumzila.....najua hayonyooote.....asanteeNi sawa mkuu ila usijizoeshe! Ni hatari sana ikipita penye "turbulence" ikiwa hujafunga mkanda.
Nimekubali hiyo iliyokuwa imewabeba hao Wayahudi haikuwa na viti. Bila shaka vilitolewa ili kupata nafasi ya kupakia abiria wengi zaidi.
Kufunga mikanda ni muhimu, isipokuwa tu pale unaporuhusiwa vinginevyo na wahudumu wa kwenye ndege.