Aposto, Kuna muujiza huku, watu wote hawa wamewezaje kujazana kwenye Kandege kadogo hivi?

Aposto, Kuna muujiza huku, watu wote hawa wamewezaje kujazana kwenye Kandege kadogo hivi?

View attachment 2986732

REKODI YA DUNIA ya abiria wengi kupanda kwenye ndege moja iliandikwa mwaka 1991 baada ya abiria 1086 Waethiopia wenye asili ya Uyahudi kupakizwa kwenye ndege aina ya Boeing 747 kutoka Ethiopia kwenda Jerusalem nchini Israel......

Baada ya kufika Jerusalem abiria waliongezeka kutoka 1086 hadi 1088 baada ya watoto wawili kuzaliwa katikati ya safari
Hatari.....kwa Sasa hao ni raia wa Israel.
 
Mimi huwaxmara nyingi sifungi mkandaaa niko sawa tuuu
Ni sawa mkuu ila usijizoeshe! Ni hatari sana ikipita penye "turbulence" ikiwa hujafunga mkanda.

Nimekubali hiyo iliyokuwa imewabeba hao Wayahudi haikuwa na viti. Bila shaka vilitolewa ili kupata nafasi ya kupakia abiria wengi zaidi.

Kufunga mikanda ni muhimu, isipokuwa tu pale unaporuhusiwa vinginevyo na wahudumu wa kwenye ndege.
 
Sidhani kama kuna rubani atakayekubali kurushwa ndege ambayo abiria wake hawajafunga mikanda. Ni hatari sana. Kuna watu walishapoteza maisha kwa sababu tu walipuuzia kufunga mikanda walipokuwa kwenye ndege.
Mwaka juzi tu hapa ndege ya mizigo ya marekani ambayo haina viti ilipakia abiria kibao na wengi wao walisimama. Nadhani kuna wawili walifariki baada ya kuanguka wakati wa kuingia.
 
Mwaka juzi tu hapa ndege ya mizigo ya marekani ambayo haina viti ilipakia abiria kibao na wengi wao walisimama. Nadhani kuna wawili walifariki baada ya kuanguka wakati wa kuingia.
Aisee!

Ilikuwa wapi mkuu?

Sipati picha kusimama kwenye pipa likikatiza mawinguni. Yahitaji moyo.
 
Boeing 747 bila viti inaweza kuwabeba hao watu, lile dude ni kubwa mno. Hata wakati US wanaondoka Afghanistan zile chuma za jeshi zilinyenyuka na raia kibao idadi karibu na hiyo.
 
K
View attachment 2986732

REKODI YA DUNIA ya abiria wengi kupanda kwenye ndege moja iliandikwa mwaka 1991 baada ya abiria 1086 Waethiopia wesili ya Uyahudi kupakizwa kwenye ndege aina ya Boeing 747 kutoka Ethiopia kwenda Jerusalem nchini Israel......

Baada ya kufika Jerusalem abiria waliongezeka kutoka 1086 hadi 1088 baada ya watoto wawili kuzaliwa katikati ya safari
Kwamba Jerusalem iko Israel!
 
Back
Top Bottom