Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
- #21
Unampa na za uchagoniUzuri wa mwamposa anakutapeli huku umeridhika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unampa na za uchagoniUzuri wa mwamposa anakutapeli huku umeridhika
Wamekutana kama kidogo?Mmekutana
Hatari.....kwa Sasa hao ni raia wa Israel.View attachment 2986732
REKODI YA DUNIA ya abiria wengi kupanda kwenye ndege moja iliandikwa mwaka 1991 baada ya abiria 1086 Waethiopia wenye asili ya Uyahudi kupakizwa kwenye ndege aina ya Boeing 747 kutoka Ethiopia kwenda Jerusalem nchini Israel......
Baada ya kufika Jerusalem abiria waliongezeka kutoka 1086 hadi 1088 baada ya watoto wawili kuzaliwa katikati ya safari
KaSwende mgonjwa wake wa kwanza ni LuciferSpacer farMagonjwa ya mlipuko yapo duniani kabla hata Yesu hajazaliwa.
Pitia historia ya dunia.
Sidhani kama kuna rubani atakayekubali kurushwa ndege ambayo abiria wake hawajafunga mikanda. Ni hatari sana. Kuna watu walishapoteza maisha kwa sababu tu walipuuzia kufunga mikanda walipokuwa kwenye ndege.Kwani huwezi kusafiri kwenye ndege bila kufunga mkanda?
Mimi huwaxmara nyingi sifungi mkandaaa niko sawa tuuuPurukushani zile za angani wakati wa kubadilisha miruko, kutua, n.k. bila kufunga mikanda itakuwaje?
Labda aliyewahi kusafiri bila kufunga mkanda atupe uzoefu.
Akijibu ni tag pleaseKwani ndio mimi niliyesema kihasibu manunuzi ya Yanga kumnunua Aziz K kwa 400 mil ni hasara?
Unapanda fisiMimi huwaxmara nyingi sifungi mkandaaa niko sawa tuuu
Kama mudi alivyowatapeli kwenye uislamuUzuri wa mwamposa anakutapeli huku umeridhika
Ni sawa mkuu ila usijizoeshe! Ni hatari sana ikipita penye "turbulence" ikiwa hujafunga mkanda.Mimi huwaxmara nyingi sifungi mkandaaa niko sawa tuuu
WalisimamaWalikaaje?
Walifungaje mikanda?
Kulikoni mkuu?Wewe huwa sio wa kuamini haraka haraka
Mwaka juzi tu hapa ndege ya mizigo ya marekani ambayo haina viti ilipakia abiria kibao na wengi wao walisimama. Nadhani kuna wawili walifariki baada ya kuanguka wakati wa kuingia.Sidhani kama kuna rubani atakayekubali kurushwa ndege ambayo abiria wake hawajafunga mikanda. Ni hatari sana. Kuna watu walishapoteza maisha kwa sababu tu walipuuzia kufunga mikanda walipokuwa kwenye ndege.
Aisee!Mwaka juzi tu hapa ndege ya mizigo ya marekani ambayo haina viti ilipakia abiria kibao na wengi wao walisimama. Nadhani kuna wawili walifariki baada ya kuanguka wakati wa kuingia.
Aisee!
Ilikuwa wapi mkuu?
Sipati picha kusimama kwenye pipa likikatiza mawinguni. Yahitaji moyo.
Unakumbuka title ya huo uzi?Search hii habari ipo hapa JF uone jamaa walivyojazana kwenye ndege kama mwendokasi.
Afghanistan: Zaidi ya watu 600 wamefanikiwa kupanda ndege ya jeshi la Marekani
Kwamba Jerusalem iko Israel!View attachment 2986732
REKODI YA DUNIA ya abiria wengi kupanda kwenye ndege moja iliandikwa mwaka 1991 baada ya abiria 1086 Waethiopia wesili ya Uyahudi kupakizwa kwenye ndege aina ya Boeing 747 kutoka Ethiopia kwenda Jerusalem nchini Israel......
Baada ya kufika Jerusalem abiria waliongezeka kutoka 1086 hadi 1088 baada ya watoto wawili kuzaliwa katikati ya safari
Walizamia Marekani au walipewa "mwaliko"?Boeing 747 bila viti inaweza kuwabeba hao watu, lile dude ni kubwa mno. Hata wakati US wanaondoka Afghanistan zile chuma za jeshi zilinyenyuka na raia kibao idadi karibu na hiyo.