Aposto, Kuna muujiza huku, watu wote hawa wamewezaje kujazana kwenye Kandege kadogo hivi?

Purukushani zile za angani wakati wa kubadilisha miruko, kutua, n.k. bila kufunga mikanda itakuwaje?

Labda aliyewahi kusafiri bila kufunga mkanda atupe uzoefu.
Kwenye videge vidogo ni shida sana. Lakini madege makubwa ya jeshi na mizigo ni kawaida tu,.
 
Sidhani kama kuna rubani atakayekubali kurushwa ndege ambayo abiria wake hawajafunga mikanda. Ni hatari sana. Kuna watu walishapoteza maisha kwa sababu tu walipuuzia kufunga mikanda wawa kwenye ndege
Mikanda unaipata wapi kwenye dege la mizigo?
Watu hukaa chini,kwenye sakafu yq ndege bila mkanda.
 
Abiria wote walikaa kwenye mikeka, hiyo ilikuwa Operation Solomon.
 
Halafu baadae wakaanza kuwatenga na kuwapiga sindano wasizaliane ili wasiwazidi ma zionist wa kizungu
 
Wote Walikaa kwenye seat au ilikuwa mwendo wa kusimama na wengine kupakatana kama daladala za mbagala?
 
Bila turbulence hakuna shidaa........mimi pilot mdogo nikifanya kazi pilot 2yrs nikapata shida .....nikapumzila.....najua hayonyooote.....asantee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…