App gani za Tanzania unazo kwenye simu yako?

App gani za Tanzania unazo kwenye simu yako?

Crdb sim banking app imetengenezwa na vijana wa kitanzania.
Ila CRDB sio ya TZ sindio? Kama imetengenezwa na wabongo basi tunasafari ndefu ndomaana iko hovyohovyo kujisajili eti unapiga picha vidole wakati feature ya Fingerprint zipo[emoji706]
 
Mimi za TZ Nina JF na sanga kariakoo ila hii nakuja ifuta huyi bwanahana uaminifu ukiagiza kitu anakuambia hakipo anakuuzia Cha chini yake na hakurudishii fedha yako au kikiaribika ndani ya muda wa warranty hataki kuwa responsible
Asante kwa Taarifa
 
Ila CRDB sio ya TZ sindio? Kama imetengenezwa na wabongo basi tunasafari ndefu ndomaana iko hovyohovyo kujisajili eti unapiga picha vidole wakati feature ya Fingerprint zipo[emoji706]
Sifahamu kama unauelewa wa namna fingerprint technology inavyofanya kazi kwenye simu. I rest my case
 
Sifahamu kama unauelewa wa namna fingerprint technology inavyofanya kazi kwenye simu. I rest my case
Sio kuelewa tu mpaka kudevelop..huwezi kupiga picha vidole kisha useme ndio fingerprint ni Tech za miaka 90..Na sizungumzii fingerprint built-in kwenye Simu nazungumzia feature kwahyo ni Screen UI
 
sitaki kuwa mean, ila niseme tu
karibia zote zilizotajwa hapo, ni websites zilikuwa wrapped kupitia mgongo wa app

yenye sifa hasa ya kuitwa app hapo ni NALA (haswaaa ile NALA ya zamani)
Kuna Shida mahali!
 
Nani anajua apk inayoweza ku project vitu vya kwenye simu ukutani anisaidie, sio kwenye smart device kama tv hapana nataka ukutani, nilimuona mtu anayo sema nikajua nitaipata playstore ila nimeshindwa
 
App kwa ujumla hazina faida, tena app ya kulenga TZ tu ni majanga, idadi yetu haitoshi na Watanzania sio "monetizable" yaani hawalipi.

Hata nchi zengine ni nchi za magharibi US/Canada kidogo kuna angalau na hata huko Apps zinadorora sana kampuni nyingi App kwa ni "nice to have" ila sio sehemu ya kutengeneza pesa, watumiaji wa Android ndo majanga zaidi, hatulipi kwa kifupi iPhone kuna angalau.
 
Hiyo ni kweli kabisaa wabongo kulipa Subscription ni ndoto..Kwahiyo tunafanyaje mkuu tuachane na App dev?
 
Back
Top Bottom