Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila CRDB sio ya TZ sindio? Kama imetengenezwa na wabongo basi tunasafari ndefu ndomaana iko hovyohovyo kujisajili eti unapiga picha vidole wakati feature ya Fingerprint zipo[emoji706]Crdb sim banking app imetengenezwa na vijana wa kitanzania.
Asante kwa TaarifaMimi za TZ Nina JF na sanga kariakoo ila hii nakuja ifuta huyi bwanahana uaminifu ukiagiza kitu anakuambia hakipo anakuuzia Cha chini yake na hakurudishii fedha yako au kikiaribika ndani ya muda wa warranty hataki kuwa responsible
Sifahamu kama unauelewa wa namna fingerprint technology inavyofanya kazi kwenye simu. I rest my caseIla CRDB sio ya TZ sindio? Kama imetengenezwa na wabongo basi tunasafari ndefu ndomaana iko hovyohovyo kujisajili eti unapiga picha vidole wakati feature ya Fingerprint zipo[emoji706]
Sio kuelewa tu mpaka kudevelop..huwezi kupiga picha vidole kisha useme ndio fingerprint ni Tech za miaka 90..Na sizungumzii fingerprint built-in kwenye Simu nazungumzia feature kwahyo ni Screen UISifahamu kama unauelewa wa namna fingerprint technology inavyofanya kazi kwenye simu. I rest my case
NIni kinafuata baada ya kuchukua picha ya vidole mtaalamu??Sio kuelewa tu mpaka kudevelop..huwezi kupiga picha vidole kisha useme ndio fingerprint ni Tech za miaka 90..Na sizungumzii fingerprint built-in kwenye Simu nazungumzia feature kwahyo ni Screen UI
Hii crdb ya kenya ni ipi???Both ni za Kenya
Ok, vizuri, nilitegemea unaelewa ni kwa nini iko hivyoUjinga ujinga tu ndo unafata..Baada ya kuweka picha naona wameconnect na Dp ya Nida So itatokea ID ya Nida kuthibitisha
Mi nanvyoelewa hii thread ni App zilizotengenezwa na waTZ kama ni umiliki sawa JF inamilikiwa na waTZ.Yeah ni DIY yani imetoka kwa jamaa wa PHP wanatengeneza Forum wewe una customize tu ila mmiliki si wa TZ?
Hicho ndio kinatuangusha watanzania sio waaminifuMimi za TZ Nina JF na sanga kariakoo ila hii nakuja ifuta huyi bwanahana uaminifu ukiagiza kitu anakuambia hakipo anakuuzia Cha chini yake na hakurudishii fedha yako au kikiaribika ndani ya muda wa warranty hataki kuwa responsible
sitaki kuwa mean, ila niseme tuMbona kudevelop App inazidi kuwa rahisi kila uchwao.Ni nini hasa kinachofanya tukose App za kujivunia.?
Hiyo ni kweli kabisaa wabongo kulipa Subscription ni ndoto..Kwahiyo tunafanyaje mkuu tuachane na App dev?App kwa ujumla hazina faida, tena app ya kulenga TZ tu ni majanga, idadi yetu haitoshi na Watanzania sio "monetizable" yaani hawalipi.
Hata nchi zengine ni nchi za magharibi US/Canada kidogo kuna angalau na hata huko Apps zinadorora sana kampuni nyingi App kwa ni "nice to have" ila sio sehemu ya kutengeneza pesa, watumiaji wa Android ndo majanga zaidi, hatulipi kwa kifupi iPhone kuna angalau.