Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama tuhamie browser?..najua mimi na wewe ni team jf app damu damu.App ya jf imekuwa ya hovyo Sana.
Browser siiwezi.Mama tuhamie browser?..najua mimi na wewe ni team jf app damu damu.
Mimi haijawahi fungua attachments.App imekuwa hovyo sana..attachment kama picha haifungui muda mwingine..vululuvululu tu.
Mimi kura nilisema sipigi hadi watakapoipa app option ya vote.Moderator app yangu inamiss vitu vingi hata kuVOTE haikubali kuna nyingine maana haya some attachments haifungui
Nipe.mwongozo pia
Mimi kura nilisema sipigi hadi watakapoipa app option ya vote.
Haiwezekani wabague ,wakati wote ni watumiaji wa jf.
Itaendelea kula kwa watafuta kura kama hawawezi kupaza sauti yao kudai option ya vote kwa watu wa App.
Watu 20 wanakuja niwapigie kura kwa nyakati tofauti...yaani nifanye kazi ya kutumia browser kila nikiombwa kupiga kura!!!siwezi hiyo kazi.
Raha ya simu ni kutumia App, hapa cha msingi tumuamshe Max usingizini hili lipo ndani ya uwezo wake.Mama tuhamie browser?..najua mimi na wewe ni team jf app damu damu.
Sure alifanyie kazi..JF ni kubwa,ni aibu hii app iwashinde.Raha ya simu ni kutumia App, hapa cha msingi tumuamshe Max usingizini hili lipo ndani ya uwezo wake.
kweli mi huwa nalazimika kutumia PC tena pia inachagua aina ya browser UC browser haikubali kabisaMimi kura nilisema sipigi hadi watakapoipa app option ya vote.
Haiwezekani wabague ,wakati wote ni watumiaji wa jf.
Itaendelea kula kwa watafuta kura kama hawawezi kupaza sauti yao kudai option ya vote kwa watu wa App.
Watu 20 wanakuja niwapigie kura kwa nyakati tofauti...yaani nifanye kazi ya kutumia browser kila nikiombwa kupiga kura!!!siwezi hiyo kazi.
Kwa umri wa JF ni AIBU kuwa na app ya kiwango cha chini kama hii. Nina uhakika ikifanyiwa mabadiliko itafanya watumiaji wengi waingie hapa.Raha ya simu ni kutumia App, hapa cha msingi tumuamshe Max usingizini hili lipo ndani ya uwezo wake.
Toa eadia zako nini kifanyikeeee.Nimekuwa member wa JF mda mrefu sasa, nasikitika kwamba pamoja na mabadiliko mengi ya teknolojia JF imeshindwa kubadilika na hasa kwenye App yake.
Kwenye ulimwengu wa social media nilitegemea JF iongoze kwenye mijadala mingi inayoibuka kila siku hapa TZ .
Kufubaa huku hakuvutii wengi kuja hapa, na kunapoteza wengi.
Malalamiko ni mengiNaam wakuu,
Kwa mara nyingine tumeona tuboreshe huduma ya JF ili izidi kuwa rahisi kutumia.
Kwa sasa unaweza ku-Install JF App kwa PC au Tablet (iPad zikiwemo) na Simu za Mkononi (Android na iPhones).
FAIDA:
1) Ni rahisi kutumia na haina tofauti yoyote na main site, hakutakuwa na malalamiko tena kuwa kuna kukosa notifications au kushindwa kufanya actions kadhaa
2) Ni rahisi kufunguka kuliko unavyodhania. Installation yake inachukua sekunde moja au pungufu. Haichukui space kwenye simu yako au kifaa chako
3) Ukiwa offline, bado kuna content utakuwa na access nayo kwa urahisi zaidi. Hulazimiki kuwa mtandaoni
4) na mengine mengi
Hatua za kufuata:
Kwa wanaotumia PC:
Tembelea JF kwa kutumia Google Chrome Browser, kisha utaona sehemu kama hii kwenye browser yako:
View attachment 1791283
View attachment 1791292
Kisha bonyeza Install kama inavyoonekana hapa chini:
View attachment 1791284
Utaona tayari unayo App kwenye PC yako. Kuanzia hapo hutokuwa ukilazimika kutembelea tovuti kwa njia ya browsing ya kawaida.
Mfano, mwenye Macbkook ataona icon ya App ya JF ikiwa hivi:
View attachment 1791290
Kwa wanaotumia Android Devices:
Tumia Google Chrome (au native browser ya simu yako):
Bonyeza mistari mitatu iliyo kushoto mwa LOGO ya JamiiForums, utaona kitu kama hiki chini:
View attachment 1791285
View attachment 1791286
Bonyeza INSTALL kisha utaona hivi (itachukua sekunde 1 ku-Install)
View attachment 1791287
Kwa wanaotumia iPhone au iOS devices:
Tumia Safari Browser, bonyeza sehemu hizi zilizozungushiwa na fuata maelekezo kwenye simu... Just add to your device's home screen.
View attachment 1791288
View attachment 1791289
Ukikwama usisite kuuliza, tupo kwa ajili yako.
TAKE NOTE: Siku zijazo (sio karibuni) tutaondoa App zilizopo kwenye Google na Apple stores. Kuna mabadiliko zaidi yanakuja kwenye mwonekano na user experience katika kutumia huduma ya JF.
PS: Kuna watu wanataka kujua kuhusu kupata notifications. Tafadhali enable push notifications kwenye settings na utazipata bila shaka.
Karibuni
Max huwezi kuamini huu uzi mimi ndio nauona leo hapa JF wakati kila siku nimo humu.Naam wakuu,

Bado msimamo wako ni huo mpaka leo?Nitaumiss sana huu muonekano wa app.[emoji116]
View attachment 1791523
Huu muonekano mpya haujanibariki kabisa kabisa.
View attachment 1791524
Unasemaje sasa? Bado msimamo wako uko hivyohivyo?JF app ya playstore inamuonekano mzuri kwa upande wangu. Pia rahisi kutumia.
Tatizo lake ni notifications kuchelewa au zisije kabisa, halafu ina like tu haina emotions nyingine
Kiongozi mimi ndio nimeweka hiyo kitu ni full burudani kwakweli, ile app ya play store itabaki tu kama back up tu.Hapana, you can have them both. Ila, soon utaelewa why this change is inevitable 😎